Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

Northern Lights

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
383
347
Habari za leo wadau,

Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka. Background kidogo:

Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10.

Mimi sio mtu wa biashara na pia kazi nayofanya hainipi muda wa kufanya biashara.

Nimewaza nichukua huu mkopo (100M) then niwekeze kwenye hati fungani za muda mrefu(15 years - 13.5% au 20 years - 15.49%, source:BOT)

Then hela nayopata kwenye hati fungani niitumie kurejesha mkopo wangu ambao utakuwa wa miaka 6. Kwa maana hiyo mambo mengine yataendelea kama kawaida.

Ni wazo nimeliwaza sijui wanajukwaa mnalionaje, ushauri wowote unakaribishwa.

Asante
 
You need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=
 
Sorry naomba kuuliza. Yani hiyo hati fungani ndani ya miaka 15 inakuwa imekupa faida ya asilimia 13.5 ya hiyo million 100 au?
Kila mwaka utapata TZS 13.5M ( Mara nyingi hulipwa semi annually)
Kwahiyo ikikaa miaka yote 15 utakuwa umelipwa Milioni 203 ( Assuming hauta pata matatizo hapo katikati ukauza bonds zako - they are listed DSE pale

So mleta mada its not a bad deal - go for it

Its a good saving or investment depending on your needs
1619093903630.png

1619093834565.png
 
Kila mwaka utapata TZS 13.5M ( Mara nyingi hulipwa semi annually)
Kwahiyo ikikaa miaka yote 15 utakuwa umelipwa Milioni 203 ( Assuming hauta pata matatizo hapo katikati ukauza bonds zako - they are listed DSE pale

So mleta mada its not a bad deal - go for it

Its a good saving or investment depending on your needs
View attachment 1760483

View attachment 1760482
Dadhani your analysis is misleading
 
you need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=

nadhani your analysis is misleading
You are correct - nime ignore so many factors including including loan repayment

Hata kama mkopo utakuwa calculated on the remaining balance of the loan (reducing balance ) still utatakiwa kulipa 19.6 Million kwa mwaka while you earn 13.5 Million yearly

So for the next six years atalazimika kutafuta other means za kuservice mkopo mpaka aumalize and then baada ya hapo ndo utaweza kuona faid
 
Kila mwaka utapata TZS 13.5M ( Mara nyingi hulipwa semi annually)
Kwahiyo ikikaa miaka yote 15 utakuwa umelipwa Milioni 203 ( Assuming hauta pata matatizo hapo katikati ukauza bonds zako - they are listed DSE pale

So mleta mada its not a bad deal - go for it

Its a good saving or investment depending on your needs
View attachment 1760483

View attachment 1760482
Asante mkuu, hii table umetengeneza mwenyewe? Unaweza kunipa maelezo kidogo kuhusu rows
 
You are correct - nime ignore so many factors including including loan repayment

Hata kama mkopo utakuwa calculated on the remaining balance of the loan (reducing balance ) still utatakiwa kulipa 19.6 Million kwa mwaka while you earn 13.5 Million yearly

So for the next six years atalazimika kutafuta other means za kuservice mkopo mpaka aumalize and then baada ya hapo ndo utaweza kuona faid
Labda nichague option ya kuongeza muda wa kufanya repayment, iwe 7 au 8
 
you need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=
1. Ni kweli mkuu, I need consultation
2. Taasisi si ya bongo mkuu
3. Repayment method nina option ya kuchagua kati ya fixed amount au reducing balance
4. Nina option ya kuongeza muda wa mkopo au ni supplement kwa mshahara
 
Either way you will need to find other means za ku service mkopo for the next six or seven years

Ukibaki na your bonds to maturity i.e 15 years utapata faida

Ukiziuza in the next six to seven years utapata hasara kwasababu loan repayments zita exceed gain utakazokuwa unapata
 
Ni kwa mwaka mkuu, sio taasisi ya bongo lakini
Kama ni hivyo hiyo ni bahati kubwa sana.

Maana hata bank zetu hapa zinatoa interests kwa Fixed deposits mpaka 11% kwa mwaka. Maana yake it's double the amount of interest unayochajiwa.

Fanya utafiti vizuri maana bonds na treasury bills hawatoi gawio kila mwezi wakati wewe utatakiwa ku-service mkopo wako monthly.
 
Either way you will need to find other means za ku service mkopo for the next six or seven years

Ukibaki na your bonds to maturity i.e 15 years utapata faida

Ukiziuza in the next six to seven years utapata hasara kwasababu loan repayments zita exceed gain utakazokuwa unapata
Sitakuwa na mpango wa kuziuza. Nimeona ni opportunity nzuri walau ya kuwekeza kidogo badala ya kusave mwenyewe
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom