Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
this guy ametoka mbali,wewe mpe thumbs up,instead of trying to knock him of the pedestal
alituchangisha harusi halafu akaingia mitini na michango
Hivi huyu nicas ana nini?
huyu jamaa utafkiri si mchagga...namfaham tangu enzi za Bullet Train na lile basi lakini the brother needs to upgrade maana wateja anapata lakini bado anangangania kuendesha biashara kwa pesa zake binafsi
tangu sie tunasoma shule alikuwa mtaalam wa haya magari ya wakubwa lakini cha ajabu ameshindwa vipi kufungua modern garage badala ya vurugu zilipo pale kwake?
Ushauri wa bure Nicas...hamisha gereji hiyo na kuwa na utaratibu wa kueleweka badala ya kufanyiwa vurugu na vumbi pale mtaani
whats so difficult kufungua gereji eneo la mbali na wananchi say kwenye industrial area?
Kama pesa huna nicas nenda kachukue mkopo benki na hamisha hiyo gereji hapo na jenga modern garage
kama hutaji then jiandae na competition toka kwa vijana wenye uwezo na nia ya ku fanya mambo tofauti na wewe
nimeshindwa kuweka picha za hali ya gereji lakini ile gereji says alot on how much money vijana Dar walivyonazo
wenye facebook page yake mtaziona hizo picha
Dah Bullet Train….ebana eeeh umenikumbusha longi sana jombaaa. Vitoto vingi humu JF havimjui Nicas ni nani wala Bullet Train ni nini. Na wale walohamia mjini miaka ya 2,000 ndo kabisaaaa wametoka watupu!!
Kumbe we Jamaa Kikongwe ee!!!..
Dah!!
Dah, sijakupata kabisa aisee!!
Huyo Nicas ni nani?
Uumm…inategemea. Kwa kwako ukikongwe unaanzia umri gani?
Miaka 35, kama unayo au zaidi yake tuambiane Bana isijekuwa tunabishana na Babu zetu humu...
Hivi huyu nicas ana nini?
huyu jamaa utafkiri si mchagga...namfaham tangu enzi za Bullet Train na lile basi lakini the brother needs to upgrade maana wateja anapata lakini bado anangangania kuendesha biashara kwa pesa zake binafsi
tangu sie tunasoma shule alikuwa mtaalam wa haya magari ya wakubwa lakini cha ajabu ameshindwa vipi kufungua modern garage badala ya vurugu zilipo pale kwake?
Ushauri wa bure Nicas...hamisha gereji hiyo na kuwa na utaratibu wa kueleweka badala ya kufanyiwa vurugu na vumbi pale mtaani
whats so difficult kufungua gereji eneo la mbali na wananchi say kwenye industrial area?
Kama pesa huna nicas nenda kachukue mkopo benki na hamisha hiyo gereji hapo na jenga modern garage
kama hutaji then jiandae na competition toka kwa vijana wenye uwezo na nia ya ku fanya mambo tofauti na wewe
nimeshindwa kuweka picha za hali ya gereji lakini ile gereji says alot on how much money vijana Dar walivyonazo
wenye facebook page yake mtaziona hizo picha
Dah Bullet Train….ebana eeeh umenikumbusha longi sana jombaaa. Vitoto vingi humu JF havimjui Nicas ni nani wala Bullet Train ni nini. Na wale walohamia mjini miaka ya 2,000 ndo kabisaaaa wametoka watupu!!
Vitoto vya miami/billiards utavijua tuu.
Tuache wazee wa motel agip.