Nianzie wapi kumwambia kuwa GF sio mwaminifu?

kama ni jamaa yako wa karibu sana mathalan ni kaka au dogo au undugu wowote wa karibu,its better umwambie mapema hasifanye maamuz ya kumwoa maana hivi tu ni gf wake na anamegwa kama kawa,jamaa ataletewa magonjwa then mwisho wa siku mtampoteza ndugu yenu halafu baadae uje ujute kuwa kwanini hukumwambia ishu hiyo.lakini pia kama unasita kumweleza jamaa,its better umpeleke live siku 1 akashuudie mwenyewe na afanye maamuzi mwenyewe.ni hayo tuu
 
create email adress yako ambayo haijui andika majina hayajui mpe picha nzima mwambie na sehemu demu wake anapoliwa
na mwambie asuke mpango na mtu wa ccounta ampe uchache kiasi ili atakapokuja amshtue mshikaji ashuhudie muvi nzima
akikushiriksiaha jifanye hujui lolote kabisa tena umpinge shemeji hayuko hivo huku nawe ukiandaa mkakati wa kushikisha live fumaninzi
 
Kama ni mimi nisingefanya chochote. Angekuwa jamaa yako ndio ana kimchumba pembeni ungeenda kusema kwa huyo mdada?
 
Just mind yo own business coz ata uyo rafki ako anaeza kua ana mambo yake vilevile..nobody is perfect in this evil world..drop the issue

mwambie valid. Mambo ya mahusiano usijiingize mazima. Anaweza akasema na bado jamaa akamuoa vile vile. Aibu yake.
 
kama ni jamaa yako wa karibu sana mathalan ni kaka au dogo au undugu wowote wa karibu,its better umwambie mapema hasifanye maamuz ya kumwoa maana hivi tu ni gf wake na anamegwa kama kawa,jamaa ataletewa magonjwa then mwisho wa siku mtampoteza ndugu yenu halafu baadae uje ujute kuwa kwanini hukumwambia ishu hiyo.lakini pia kama unasita kumweleza jamaa,its better umpeleke live siku 1 akashuudie mwenyewe na afanye maamuzi mwenyewe.ni hayo tuu

man eddo, kwa kweli ni rafiki yangu tu wa karibu. Na kwa nimeshampeleka pale mara kadhaa kufuatia ushauri nlopewa hapa. Ila sijafanikiwa. Kwa sasa jamaa yuko ulaya kuna ka kakazi ka ofisi yao kamempeleka, ila akirudi ntaendelea kutumia this trick, ikikataa basi(yani demu asipokuja kulala hapo lodge ndo bas.
 
Hiyo ni plan b ya gf wa jamaa yako, in case jamaa akimpiga chini. Akiendelea baada ya ndoa ndio fanya maarifa ya kumwambia au kumwonyesha.
Btw hiyo lodge ina bar ya residents tu, we unaenda fanya nini hapo?
 
Kama ni mimi nisingefanya chochote. Angekuwa jamaa yako ndio ana kimchumba pembeni ungeenda kusema kwa huyo mdada?

we husninyo acha maneno yako, yani anataka kusema nafanya vibaya?
Jamaa anamuamini huyo demu wake mnooooo,kiasi nkinyamaza kimya itakuwa DHAMBI kwangu.
 
create email adress yako ambayo haijui andika majina hayajui mpe picha nzima mwambie na sehemu demu wake anapoliwa
na mwambie asuke mpango na mtu wa ccounta ampe uchache kiasi ili atakapokuja amshtue mshikaji ashuhudie muvi nzima
akikushiriksiaha jifanye hujui lolote kabisa tena umpinge shemeji hayuko hivo huku nawe ukiandaa mkakati wa kushikisha live fumaninzi

ushauri wako mzuri na nimeupenda mdau. Ila part B ya ushauri ndo nlioutekeleza.
Na nnavokutext kupitia hii post nko eneo la tukio(sio kumtega tu demu, bali hili ni eneo naloamua kupumzisha koo jioni mara nyingi)
 
we husninyo acha maneno yako, yani anataka kusema nafanya vibaya?
Jamaa anamuamini huyo demu wake mnooooo,kiasi nkinyamaza kimya itakuwa DHAMBI kwangu.

mi najua huna nia mbaya ila angalia hayo mambo yasikuumbue. Hebu fikiria unamwambia mshkaji anagombana na mtu wake halafu siku mbili tatu wamerudiana. Sura yako utaiweka wapi? Unaweza ukajikuta hata urafiki wenu unavunjika.
 
Hiyo ni plan b ya gf wa jamaa yako, in case jamaa akimpiga chini. Akiendelea baada ya ndoa ndio fanya maarifa ya kumwambia au kumwonyesha.
Btw hiyo lodge ina bar ya residents tu, we unaenda fanya nini hapo?

napenda tu kupumzika, huku nikichangia pato la taifa kwa kununua bidhaa ambayo kodi kila mwaka inapanda...
 
Nunua basi line mpya umtumie sms jamaa yako kwamba demu wake si muaminifu aanze kuchunguza then tupa line
 
mi najua huna nia mbaya ila angalia hayo mambo yasikuumbue. Hebu fikiria unamwambia mshkaji anagombana na mtu wake halafu siku mbili tatu wamerudiana. Sura yako utaiweka wapi? Unaweza ukajikuta hata urafiki wenu unavunjika.

ni kweli usemacho. Inatakiwa umakini wa hali ya juu sana kumueleza kuhusu tabia ya GF wake.
La sivo nkimwambia kichwa kichwa itatokea kama usemavo.
 
Nunua basi line mpya umtumie sms jamaa yako kwamba demu wake si muaminifu aanze kuchunguza then tupa line

nlimwambiaga kwa mdomo kuwa mchunguze na mpeleleze demu wako. Wala hataki sikia hiyo mamboa. KUPENDA SANA KUNAKUPA UPOFU.
 
Du huyo sasa kimeo amekolezwa haswa,hlf nashindwa kuelewa confidence ya huyo dada ya kuendelea kurudi hiyo lodge while anajua ni kijiwe chako
Nway madam ni best yako usichoke kutafuta njia,we jaribu tu kufanya hivyo may be ataamka toka usingizini
 
Finest popote pale ulipo naomba unifundishe iyo maneno ya gps locator kuna mtu amezidi kunidanganya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom