True story nifanyeje

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,451
9,373
Nimekaa nayo hii moyoni ila uzalendo umenishinda imebidi niseme hapa jukwaani pengine nafsi itatulia

Nilipokuwa mwanafunzi chuo miaka kama 10 iliyopita katika ujana na Maisha ya chuo basi nilikuwa mtu wa viwanja sana siku moja nipo club tena siku hiyo niliwahi kwaiyo nakaenda counter nikawa nimekaa napata moja moto moja baridi watu ndio wanaingia ingia DJ anapiga old school zile

Wakati nipo kaunta akaja Dada mmoja mzuri tu Dada wa kileo akaa kiti cha jirani akagiza kinywaji chake sikumtilia maanani sana nadhani watu wa club mnajua club kila mtu huwa bize na yake

Basi galfa nikaona waiter ananiongezea vinywaji kisha ananimbia vimetoka kwa Dada pale nikataka kusita kwakua nilikiwa tayali nishaanza kuwaka nikashukuru, nikasema uyu mbona anajileta mdomoni nikapata hamasa yakumwambia waiter mwambia kaka anasema asante alafu mbona kajitenga mwambie asogee kweli waiter akafikisha ujumbe

Dada akasongea kiukweli Dada alionyesha ushirikiano wa hali ya juu mpaka nikaanza kuwaza mh uyu kadata na nini kwangu basi nikawa nimepata kampani tukacheza mziki mda wa kuondoka tunatoka akasema kaja na usafiri wake mmh nikastuka nikasema hapa kuna kuchinjwa kama pombe ikataka kukata nikamwambia hapana umo sipandi

Akaniondoa hofu kuwa nisihofu ingawa kafikia lodge ili niwe huru niseme twende wapi napotaka miye nikastuka tena nikawaza asiwe mgonjwa uyu anataka niingiza choo cha kike, kwakua mule club kulikuwa na wanafunzi wenzangu naowajua nikamwambia simjui anijui kama hatojali nimchukue mwenzangu mmoja aone tunapoenda kisha arudi dada akakubali kweli

nikamchukua mwenzangu tukaondoka uzuri lodge aliyofikia tukawa tunaijua basi jamaa yangu akashuka akachukua usafiri akaenda chuo maana mda ulikuwa umeenda

Tulipoingia room aliongea vitu vizito sana na alifunguka hivi baada ya kuitaji tufanye ngono isiyo salama miye niligoma kabisa sababu alikuwa kalewa aliongea uku analia akiniombaa kama Dada upo hapa JF utasoma uzi huu nisamehe nimeshindwa kaa nalo hili moyoni imebidi niseme tu

Dada aliniambia yupo kwenye ndoa miezi kumi na moja sasa ila kuna shida kwenye ndoa yake kwanini mpaka mda huu jamaa kashindwa mpa mimba kwaiyo anaona aibu ofisini, kwa mawifi na hata wazazi wake wanamsema kuwa anaendekeza uzungu amzalie kaka wawatu ila yeye ashajua mumewe uwezo wa kumpa mimba mwanamke hana kwani kabla ya ndoa walishakuwa wachumba mwaka mzima hakuna mimba ila yeye binti kabla ya kuonana na jamaa alishagazaa kwaiyo anachoitaji ni mimba na katoka mkoani kaja mjijini kukutana na mtu asiyemjua ili apate mimba tu na kaja akiwa tayali kushika mimba kwaiyo anaomba tufanye ngono hivyo hivyo atanipa nachotaka

kwakua nilikuwa nimelewa ila akili haikuhama nikasema sawa ila naogopa ngoma kama yupo tayali anipeleke chuo kesho anifuate tukapime nipo tayali msaidia ingawa Dada alikubali kwa sharti moja tusipeane namba za sm kwakua miye najua alipofikia kesho asubuhi niende kweli nikarudi chuo sikumwadithia mtu

Wanachuo mnajua maisha ya chuo Pesa inakauka huna kitu kwaiyo kesho yake nilienda kwa yule dada na kilichonipeleka ni njaa tu maana nilijua atanitoa so mjini taishi vizuri siku mbili tatu

Tulienda hospital akapima nikapima majibu yakaja yapo sawa tukatoka hapo moja kwa moja hotelini tukaanza kunywa tukalewa tukajikuta tushazini basi akanimbi nisirudi chuo kweli nilikaa naye siku mbili nikula kunywa ngono baada ya hapo asubuhi namka Dada hayupo kaacha elfu hamsini kwenye dressing table basi nikaoga nikarudi chuo siku waza sana Maisha yakaendelea

Kilichonileta hapa mwaka huu mwezi wa tatu nne nilipata safari ya mkoni kikazi nilipofika uko nikawa na uhitaji wa kwenda bank nimefika bank pale mapokezi namuona yule Dada nikastuka naye akastuka ila akanichangamkia sana na akaomba tupeane mawasiliano baada ya kazi atanitafuta tuongee

Kweli jioni alinaitafuta na alipokuja alikuja na binti mkubwa miaka kama tisa hivi nilipoomuona tu kafanana sana na binti yangu aliyopo nyumbani sikusema kitu akaniambia kanitafuta mda sana ila hakujua atanipata wapi ila imekuwa bahati kaniona akaniambia anataka anipe mtoto wangu nikastuka nikasema kivipi baba wa mtoto je atahisije akanimbia ni story ndefu kidogo

Akasimulia kuwa hakuwa mke wa mtu na wala hakuwa kazaa kama alivyoniambia sema alitendwa na mwanaume pale kazini kulikuwa na boss wake ambaye aliamini ndie angekuwa mumewe ila gafla alishangaa kuona jamaa kaoa na kamuacha kwenye mataa kwaiyo aliumiaga sana na akaapa akasema hatupenda tena kwaiyo alikaa mda bila mwanaume umri ukawa unaenda kazi anayo wazazi wanampigia kelele olewa olewa kama uolewei zaa basi hivyo akamua kuzaa tu na kwakua aliamua kupata mimba tu hataki mwanaume akamua iwe vile na alihisi akifanya vile atakuwa kamkomoa hata yule X wake aliyemuacha akaenda kuoa na atapunguza maneno maneno kuwa uyu vipi

Kwaiyo anaomba nimpokee mtoto wangu na yupo tayali kunipeleka kwa wazazi wake kwani amekuwa akiulizwa sana anakosa majibu zaidi anawambia yupo yupo

Wadau miye sasa na familia hapa nawaza sana je nimpokee uyu mtoto au niache ingawa binti sasa anasoma darasa la tano

Mama wa mtoto nayekashika kasi kunipigia sm anasema anaitaji tuzae mtoto mwingine imekuwa kama bahati kaniona anaitaji dada apate mdogo wake

kilichonifurahisha binti anatumia ubini wangu uyu Dada akumbadilisha binti jina

Wadau nipo njia panda nawaza sana.
 
Story ya kusisimua
naijatwittersavages-20190529-0002.jpg
 
Dah kwakweli upo katika majaribu makubwa sana, kwakua mtoto alizaliwa kipindi ambacho hukua na ndoa na huenda hata huyo mke uliyenaye kipindi hicho hamkua na mahusiano kidogo inakua rahisi kumwambia kuwa una mtoto wa ujanani but mtoto aendelee kubakk kwa mama ake ili nyumbani kwako pabaki na amani maana watoto wa njee wakiletwa ndani ya familia kidogo amani inapotea, pili huyo mwanamke uliyezaa naye anaendeshwa na mihemko ya umri kumtuoa mkono sikushauri ujenge naye mahusiano hata kama unamtamani maana alishakudanganya kwa dimension pana sana so changa karata zako vizuri huyo abaki ni mzazi mwenzako na mtoto wako mtambue na mshirikiane katika malezi maana hujui kesho uyo mtoto ndo anaweza kua kiongozi mzuri sana kwa wadogo zake.
 
Hii stori inaweza kuwa fundisho kubwa sana kwa wengine. Ngoja niifuatilie hadi mwisho nami nifanye maamuzi kulingana na uzoefu wa wadau humu.
Inafikia kipindi unashindwa kuamini kama wanawake nao ni binadamu wenzetu au pepo.
 
Nimekaa nayo hii moyoni ila uzalendo umenishinda imebidi niseme hapa jukwaani pengine nafsi itatulia

Nilipokuwa mwanafunzi chuo miaka kama 10 iliyopita katika ujana na Maisha ya chuo basi nilikuwa mtu wa viwanja sana siku moja nipo club tena siku hiyo niliwahi kwaiyo nakaenda counter nikawa nimekaa napata moja moto moja baridi watu ndio wanaingia ingia DJ anapiga old school zile

Wakati nipo kaunta akaja Dada mmoja mzuri tu Dada wa kileo akaa kiti cha jirani akagiza kinywaji chake sikumtilia maanani sana nadhani watu wa club mnajua club kila mtu huwa bize na yake

Basi galfa nikaona waiter ananiongezea vinywaji kisha ananimbia vimetoka kwa Dada pale nikataka kusita kwakua nilikiwa tayali nishaanza kuwaka nikashukuru, nikasema uyu mbona anajileta mdomoni nikapata hamasa yakumwambia waiter mwambia kaka anasema asante alafu mbona kajitenga mwambie asogee kweli waiter akafikisha ujumbe

Dada akasongea kiukweli Dada alionyesha ushirikiano wa hali ya juu mpaka nikaanza kuwaza mh uyu kadata na nini kwangu basi nikawa nimepata kampani tukacheza mziki mda wa kuondoka tunatoka akasema kaja na usafiri wake mmh nikastuka nikasema hapa kuna kuchinjwa kama pombe ikataka kukata nikamwambia hapana umo sipandi

Akaniondoa hofu kuwa nisihofu ingawa kafikia lodge ili niwe huru niseme twende wapi napotaka miye nikastuka tena nikawaza asiwe mgonjwa uyu anataka niingiza choo cha kike, kwakua mule club kulikuwa na wanafunzi wenzangu naowajua nikamwambia simjui anijui kama hatojali nimchukue mwenzangu mmoja aone tunapoenda kisha arudi dada akakubali kweli

nikamchukua mwenzangu tukaondoka uzuri lodge aliyofikia tukawa tunaijua basi jamaa yangu akashuka akachukua usafiri akaenda chuo maana mda ulikuwa umeenda

Tulipoingia room aliongea vitu vizito sana na alifunguka hivi baada ya kuitaji tufanye ngono isiyo salama miye niligoma kabisa sababu alikuwa kalewa aliongea uku analia akiniombaa kama Dada upo hapa JF utasoma uzi huu nisamehe nimeshindwa kaa nalo hili moyoni imebidi niseme tu

Dada aliniambia yupo kwenye ndoa miezi kumi na moja sasa ila kuna shida kwenye ndoa yake kwanini mpaka mda huu jamaa kashindwa mpa mimba kwaiyo anaona aibu ofisini, kwa mawifi na hata wazazi wake wanamsema kuwa anaendekeza uzungu amzalie kaka wawatu ila yeye ashajua mumewe uwezo wa kumpa mimba mwanamke hana kwani kabla ya ndoa walishakuwa wachumba mwaka mzima hakuna mimba ila yeye binti kabla ya kuonana na jamaa alishagazaa kwaiyo anachoitaji ni mimba na katoka mkoani kaja mjijini kukutana na mtu asiyemjua ili apate mimba tu na kaja akiwa tayali kushika mimba kwaiyo anaomba tufanye ngono hivyo hivyo atanipa nachotaka

kwakua nilikuwa nimelewa ila akili haikuhama nikasema sawa ila naogopa ngoma kama yupo tayali anipeleke chuo kesho anifuate tukapime nipo tayali msaidia ingawa Dada alikubali kwa sharti moja tusipeane namba za sm kwakua miye najua alipofikia kesho asubuhi niende kweli nikarudi chuo sikumwadithia mtu

Wanachuo mnajua maisha ya chuo Pesa inakauka huna kitu kwaiyo kesho yake nilienda kwa yule dada na kilichonipeleka ni njaa tu maana nilijua atanitoa so mjini taishi vizuri siku mbili tatu

Tulienda hospital akapima nikapima majibu yakaja yapo sawa tukatoka hapo moja kwa moja hotelini tukaanza kunywa tukalewa tukajikuta tushazini basi akanimbi nisirudi chuo kweli nilikaa naye siku mbili nikula kunywa ngono baada ya hapo asubuhi namka Dada hayupo kaacha elfu hamsini kwenye dressing table basi nikaoga nikarudi chuo siku waza sana Maisha yakaendelea

Kilichonileta hapa mwaka huu mwezi wa tatu nne nilipata safari ya mkoni kikazi nilipofika uko nikawa na uhitaji wa kwenda bank nimefika bank pale mapokezi namuona yule Dada nikastuka naye akastuka ila akanichangamkia sana na akaomba tupeane mawasiliano baada ya kazi atanitafuta tuongee

Kweli jioni alinaitafuta na alipokuja alikuja na binti mkubwa miaka kama tisa hivi nilipoomuona tu kafanana sana na binti yangu aliyopo nyumbani sikusema kitu akaniambia kanitafuta mda sana ila hakujua atanipata wapi ila imekuwa bahati kaniona akaniambia anataka anipe mtoto wangu nikastuka nikasema kivipi baba wa mtoto je atahisije akanimbia ni story ndefu kidogo

Akasimulia kuwa hakuwa mke wa mtu na wala hakuwa kazaa kama alivyoniambia sema alitendwa na mwanaume pale kazini kulikuwa na boss wake ambaye aliamini ndie angekuwa mumewe ila gafla alishangaa kuona jamaa kaoa na kamuacha kwenye mataa kwaiyo aliumiaga sana na akaapa akasema hatupenda tena kwaiyo alikaa mda bila mwanaume umri ukawa unaenda kazi anayo wazazi wanampigia kelele olewa olewa kama uolewei zaa basi hivyo akamua kuzaa tu na kwakua aliamua kupata mimba tu hataki mwanaume akamua iwe vile na alihisi akifanya vile atakuwa kamkomoa hata yule X wake aliyemuacha akaenda kuoa na atapunguza maneno maneno kuwa uyu vipi

Kwaiyo anaomba nimpokee mtoto wangu na yupo tayali kunipeleka kwa wazazi wake kwani amekuwa akiulizwa sana anakosa majibu zaidi anawambia yupo yupo

Wadau miye sasa na familia hapa nawaza sana je nimpokee uyu mtoto au niache ingawa binti sasa anasoma darasa la tano

Mama wa mtoto nayekashika kasi kunipigia sm anasema anaitaji tuzae mtoto mwingine imekuwa kama bahati kaniona anaitaji dada apate mdogo wake

kilichonifurahisha binti anatumia ubini wangu uyu Dada akumbadilisha binti jina

Wadau nipo njia panda nawaza sana.
Umesema una binti mwingine, je huyo binti ni wa mwanamke uliemuoa au hujamuoa,
 
Sasa unawaza nn?? Binti yako chukua damu yako ikiwezkana oa kabsa mlee mtoto uyo
 
Back
Top Bottom