Nianzie wapi kumwambia kuwa GF sio mwaminifu?

Mkuu ushauri utaupata kwenye thread flani hivi ya Bujibuji mana ni matatizo yanayofanana,kwa upande wangu kuna ushauri Afrodenz aliutoa kwamba njia nikumlengesha boyfriend wake,yaani mnajifanya mnaenda kupata moja baridi moja moto hizo sehemu bila we kumwambia chochote,so wakigongana uso kwa usoni ndo solution itapatikana.
nakuunga miguu na mikono...............tawire babaa
 
Mkuu ndo maana nimekuambia unaweza kuja onekana mbeya baadae na mnafiki wawili wanpendanao watakapotupilia mbali tuhuma zako na kuendelea na mambo yao
Kuwa makini sana bora umkamatishe moja kwa moja ajionee mwenyewe na siku unaenda kufanya hayo wala haina haja kumwambia ni yeye ajionee mwenyewe na wewe vile vile unajifanya kushangaa na kushtuka
Ila unamwambia mimi nakuja hapa kwa starehe zangu ila hujawahi kushuhudia hayo

hapo nimekubali mkuu. Dawa nimlengeshe. Ila sasa sijui atakuwa anakuja lini na wakati gani, mana mi kukutana nae hapo ni koisidens ya muda ndo mana namkutaga. Labda tuende hapo daily kuvizia.
 
hapo nimekubali mkuu. Dawa nimlengeshe. Ila sasa sijui atakuwa anakuja lini na wakati gani, mana mi kukutana nae hapo ni koisidens ya muda ndo mana namkutaga. Labda tuende hapo daily kuvizia.

Mkuu subira yavuta heri we kama umepanga jipange kufanikisha usiishie njiani mkuu
 
1. Chukua namba ya huyo jamaa wa mapokezi incase siku wakija akufahamishe in advance well you can tip him/her some little amount of money
2. Binti anaweza kubadilisha kiwanja baada ya kuwa amegundua kuwa umeishambamba tayari
3. Muulize jamaa yako kama anaweza akaweka GPS locator kwenye simu ili ajue GF huwa anakuwa wapi, its possible sema wengi wetu hawajui how it works

NB: Usimwambie kuwa mimi ndio nimekupa huu ujafanja

Mkuu i'm sorry nipo nje ya mada kimtindo....hiyo GPS locator inategemea aina za simu?halafu locater yenyewe itakuwa inaonyesha direction tu alipo?au mpaka unapompigina ndo inaonyesha mana kuna mazingira may be akazima simu
 
nakuunga miguu na mikono...............tawire babaa

jamaa katoa ushauri mzuri, ila sasa tatizo ni kujua demu anakujaga lini, kama mshkaji wangu angekuwa mwelewa, ningemwambia hii plan ili tuiweke pamoja.
Lakini mimi peke yangu kuiweka. Itabidi tuende hapo daily kuvizia, ambayo ni ngumu kufanya.
 
Mkuu i'm sorry nipo nje ya mada kimtindo....hiyo GPS locator inategemea aina za simu?halafu locater yenyewe itakuwa inaonyesha direction tu alipo?au mpaka unapompigina ndo inaonyesha mana kuna mazingira may be akazima simu

kumwambia amwekee hii GPS locater, si ataniuliza kwanini tumewekee?umewaza nini mpaka unambie nimuwekee gps demu wangu.
Kwa kweli kama ni ubishi mi huwa simwezi, mana msukuma yule ni mbishi kupita maelezo yani.
 
Mkuu i'm sorry nipo nje ya mada kimtindo....hiyo GPS locator inategemea aina za simu?halafu locater yenyewe itakuwa inaonyesha direction tu alipo?au mpaka unapompigina ndo inaonyesha mana kuna mazingira may be akazima simu
GPS locator ukiwa unampigia simu inaonyesha exactly at that point in time yuko wapi, its works with Nokia, Blackberry Samsung, Iphone
 
nikiomba namba ya simu ili anipe taarifa za huyo demu sio rahisi anipe, mana hapo ni kama anafukuza wateja. Na wala sikumwambia mtu wa kaunta kuwa namfahamu huyo demu. Gps locator tena? Mi nshampaga angalizo la juu juu kuwa, embu mpelele GF wako, mwenyewe mbishi kweli.
Dah!! Kama jamaa yako ni mbishi basi bora kumuacha labda akigundua ambapo itakuwa too late labda ndio ataelewa
 
kama keshakuona na bado anakuja hapo, anakutaka huyo. mzingue kiutani uone kama hatakupa penzi ili uendelee kuficha siri
 
Dah!! Kama jamaa yako ni mbishi basi bora kumuacha labda akigundua ambapo itakuwa too late labda ndio ataelewa

mi nadhani dawa ni kumpiga picha kwa siri akiwa na demu wake akiwa na huyo mshkaji anaye mmegaga kwasiri, afu nimtumie kwa posta jamaa angu, nimwambie watch your girl.
Otherwise jamaa atamvisha pete, desemba ni kesho kutwa tu.
 
unaweza fikiri unamsaidia rafiki
ukajikuta unasutwa na heshima yako inashuka

ukishindwa kaa kimyaa tu
 
1. Chukua namba ya huyo jamaa wa mapokezi incase siku wakija akufahamishe in advance well you can tip him/her some little amount of money
2. Binti anaweza kubadilisha kiwanja baada ya kuwa amegundua kuwa umeishambamba tayari
3. Muulize jamaa yako kama anaweza akaweka GPS locator kwenye simu ili ajue GF huwa anakuwa wapi, its possible sema wengi wetu hawajui how it works

NB: Usimwambie kuwa mimi ndio nimekupa huu ujafanja
GPS zinapatikana wapi mdau naiataji niwe namtrap m2 wangu maeneo yake
 
yaani ndo hivo,unaenda kumwambia live baadaye unakuta wakipatana unaonekana we mbea na mnafiki halafu wote wanakuwa adui zako

sometime unaweza ukaamua kumwambia live kumbe jamaa anaujua ukweli au jamaa yako ndo mwizi hapo itakuwaje??
 
Mbona easy we siku ukiwa hapo na wanaingia lodge we mpigie jamaa akukute hapo,hakikisha amuondoki hadi demu atoke room
Shida itakuja iwapo huwa wanalala hadi liamba
 
Kama kweli jamaa ni rafiki yako wa dhati mwambie A to Z bila kumumunya maneno aisee!Unaposimama kwenye ukweli usifikirie matokeo yake,vinginevyo urafiki wenu ni wamashaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom