ndoa ngumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Niaminini mimi, hakuna ndoa ngumu. Wagumu watu

    Habari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote ile ambayo ni sahihi. Kama yupo anayebisha basi huyo ndio shida yenyewe. Hivyo kwa kuanza naanza na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

    Nilikuwa binti mtulivu sana ktk usichana wangu,mpaka naanza chuo mwaka wa kwanza simjui mwanaume kabisa,nilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi. Nilipofika chuo nilipata mkopo na nikawa nautumia kujikimu pamoja na...
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuiona ndoa ni ngumu, oa mwanamke kutoka kanda ya ziwa hasa hasa hawa warefu na weupe

    Kama unataka kuona chungu ya ndoa we nenda kaoe kanda yq ziwa utajuta hawa watu wana tamaa ya mali aisee sijawahi kuona aisee wajeuri, wajivuni na viburi na ushirikina kwao ni kama jadii yao tu wanaweza kukupiga limbwata mpaka ujute kusema ukweli Mimi nimenusurika kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tu...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Usipige kelele ndoa ngumu fanya fammy mapping utabeba mizigo isiobebeka aka misukule ya ukoo..

    NAHII SIO KWENYE NDOA TU HATA WEWE UNAETESEKA NA MAGONJWA MAISHA MAGUMU NENDA KAANGALIE CHUNGUZA WAZAZI WAKO BABU ZAKO WALIISHI MAISHA GANI WAPI WALIWAHI KUKOSEA TUBU KWA AJILI YAOOOO KUNA FAMILIA ZINATESEKA NA LAANA ZA UKOO MABABU KWA MABABU YAAN KWA SASA LABDA WANA VIZAZI VYA SABA HAKUNA WA...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kweli ndoa ngumu, binti anataka kuolewa na boda boda

    Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa. Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda. Binti: lakini mama huyu ni muelewa. Mama : kwanini usitafute kijana msomi kama wewe. Hivi kweli biashara zao zinaweza kuendesha kweli?? Binti ni pisi kali mno...
  6. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Ndoa ngumu sana ndugu zangu; kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu

    INTRODUCTION Eeeh bwana eeeh! Wazima humu na Heri ya pasaka sanaaa. NB: Sina maana yoyote ya kudhihaki kutokana na kichwa cha habari. Anyway baada ya salama twende kwenye mada. SCENARIO Nina jamaa angu huu mtaa lilipo duka langu. Huyu jamaa angu yamemkuta MAKUBWAAAA kwenye ndoa yake (Tumuite...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

    Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable. Imagine mke wako anajitapa hivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza...
Back
Top Bottom