- Thread starter
- #21
Karibu sana ndugu Funny boe. Waweza nicheki pia inboxBasi sawa, naomba niwe mteja wako wa kwanza.
Nina changamoto
Karibu sana ndugu Funny boe. Waweza nicheki pia inboxBasi sawa, naomba niwe mteja wako wa kwanza.
Nina changamoto
Pole kwa changamoto za motivatorsYale yale ya SOCIAL AND MEDIA MOTIVATORS!
HOVYO KABISA KABISA KABISA...
Kwani kuna ndoa bila watu?Habari zenu ndugu wa MMU. Mnikaribishe na humu pia maana humu ndio kutakuwa jikoni kwangu. Nataka nitibu ndoa nyingi na mahusiano mengi iwezekanavyo kupitia makala zangu, vitabu na mbinu yoyote ile ambayo ni sahihi. Kama yupo anayebisha basi huyo ndio shida yenyewe.
Hivyo kwa kuanza naanza na kauli mbiu kuwa Mungu alimuumba mwanamke toka ubavu wa mwanaume ili awe karibu na moyo wake na sio miguuni pake.
Kama uko nami gonga likes na uweke mawazo yako hapo
Ni kweli hakuna ndoa bila watu, ila baada ya kuwepo watu, kanuni na taratibu zote za ndoa zinajiainisha na kuwa kama amri au kanuni.Kwani kuna ndoa bila watu?
Au hujasoma hesabu za set and subset? au hata zile syllogism?
Watu ni wagumu
D-Mshauri ni mtu nayupo kwenye ndoa
So, ndaa ni ngumu kwa sababu wewe ni mtu na upo kwenye ndoa na kwa sababu umesema watu ni wagumu
No sio siri sana, nitaongea hapa hapa ili na wengine wachangie mawazo pia.Karibu sana ndugu Funny boe. Waweza nicheki pia inbox
Awali ya yote sitakushauri, japo jina langu linaashiria ushauri. Nitakupa counseling ili mwisho wa siku ufanye maamuzi mwenyewe. Counseling inakupa mamlaka ya kuamua baada ya counselor kuweka bayana mbele yako mema na mabaya kuhusiana na hali uliyopo.No sio siri sana, nitaongea hapa hapa ili na wengine wachangie mawazo pia.
Kuna mdada mmoja hapa mtaani nipo nae kwenye mahusiano takribani mwezi sasa ila kila nikimwambia afike room aje anipe unyumba amekuwa akiniwekea masharti kuwa mpaka nimtambulishe kwa wazazi wangu.
mimi sina plan ya kumuoa maana ukizingatia ni single maza na najua anataka kuniangushia Jumba bovu na kuna muda nawaza kumuacha ila nikikumbuka kitita cha pesa taslimu shilingi za kitanzania elfu kumi (10,000) niliyompa moyo unaniuma sana kumuachia hiyo hela.
sasa nachotaka kutoka kwako mshauri unipe mbinu za namna ya kumdanganya akubali kunipa unyumba bila kuniwekea hayo masharti yake ya kumuoa.
Nataka kujilipa ten yangu niliyompa.