Niambieni hapa ni wapi ?

Niambieni hapa ni wapi ?

bucho

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2010
Posts
5,175
Reaction score
3,276
ATAKAYEWEZA KUNIAMBIA HAPA NI WAPI NAMPA ZAWADI.

523108_330401253687758_100001536582997_904525_646409090_n.jpg
 
bado jaribuni tena .
 
Hapo ni duniani, picha imepuliziwa kijani kwa juu kukolezea!
 
hapo patakuwa k/koo kipati na sikukuu street.
 
ntatoa jibu sasa kama mtashindwa.
 
bwana hii pich umeitoa facebook wall ya tanzania ni usa river arusha
 
ntatoa jibu sasa kama mtashindwa.

... Bucho ...am sure you dont know the place!! ... Mimi nitakupa sehemu na eneo hilo kwa GPS ... waliopanada hiyo Miti, waliotegeneza hiyo bara bara ...na wafadhili wake ... need I say more ? Tangaza dau!!! na wapi litapokelewa tumalize mchezo!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom