Niaje herufi "T"?

Niaje herufi "T"?

Tanga kunani paleee....mbona mambo yanasikitisha. Tanga kunani paleee..... Mbona kila kitu kimekufa?......wagosi mpo?
 
TRA, duh Tanangozi Iringa pale pana wanga hapo.
TAMISEMI, TANGOLD hatari tupu!!! herufi hii ina laana!!!
 
Tanga tanga kunani? - Wagosi wa Kaya wenyewe wakaimba!
 
Toa pesa,Toa m'ba, toa rushwa, toa mbwa nje, Tumia
 
TKK-Toa kitu kidogo
 
Tata,
Tonesha,
Tisha,
Tanganyika,
Tingisha,
Tenganisha,
Tetemesha,
Torosha,
Tamali,
Tukutu.
 
Serio you are genius... kwahiyo hata tumbaku inaingia mkumboni siyo?? vipi tabata, tegeta na tukuyu??

Au ni kwa tunguli, tundu na tIGO tu?
 
Naombeni information. Tigo wamefanya nini? Maana nackia inatajwa ila cjui kilichojiri. Msaada wajumbe
 
tamu.
tunuku,
tatua ,
tia,
tatu,
tanua,
toa,
tayari,
Taabu kwelikweli..................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom