PJ
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 297
- 32
Zanzibar wanajidanganya kuwa kwa kujitenga na Bara ndio watapata maendeleo ya haraka.
Siasa za dunia sasa zimebadilika. Si tena kati ya Ukomunist na ubepari. hivyo misaada kwa kigezo cha kuwa katika strategic area haipo tena.
Zanzibar wasipochunga wanaweza wakajitenga na baada ya hapo wakaingia katika mgogo wa kupigania madaraka kati ya wapemba na waunguja. Hayo hayajitokezi sasa hivi kutokana na Muungano. wale ambao wataona kama waliowekwa pembeni (sidelined) kwa muda mrefu watataka kulipiza kisasi. na huo utakuwa ni mgogoro mbaya sana.
Dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana. wasipochunga hata kile kinachoshabikiwa kwa sasa kama muafaka wa serikali ya umoja wa kitaifa hakitaheshimiwa na nchi itajafika mahali itakuwa haitawaliki. Yetu macho.
Seif is very clever.