Ni zamu yangu sasa

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
Jamani tangu niingie chitchat naona ni wakongwe tu ndo waliokamata watoto wazuri wazuri. Mpaka Boflo ana bond yake. Jamani moyo mpweke kama mimi wameisha Chitchat ama mi bahati yangu mbaya?
 
Last edited by a moderator:
nenda kule mapokezi,
wanaingia warembo kila siku.
ukisubiri wakikomaa hupati kitu...
tena watu wabaya humu sio vijana wenzanzako...
ni wazee na nywele zao nyeupe... Asprin Bishanga na Kaizer just to mention a few.
wanakimbiza mbaya na swagga zao za kizee...kwa iyo deal na hao sisi vijana hatuna sumu humu.
 
Last edited by a moderator:
kwani hujajua mpaka leo type zangu? awe tu na bambataa
 
kwani hujajua mpaka leo type zangu? awe tu na bambataa

Hivi kwa nini nyie wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye bambataa kubwa?
Mna siri gani nyuma ya pazia?
Mnakifata kitu gani ktk hzo type za kalio?
Au ndo waganga wenu walivyowambia?
Au wana 'hit na kubamba' sana?
Au ni dhana mliyojiwekea?
Au ukimchukua mwenye wowowo kidunchu utachekwa?
Au mnataka msifiwe mkikatiza nae kitaani?
Au...??? au...??? au..???
Nipe majibu.
 
Morning wangu?
Hawa vijana wasiku hizi wanadhani makalio yanaliwa kama maandazi, maana nasikia wadada wengine wanayapaka mafuta yana ng'aa kama andazi au kitumbua!

Hivi kwa nini nyie wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye bambataa kubwa?
Mna siri gani nyuma ya pazia?
Mnakifata kitu gani ktk hzo type za kalio?
Au ndo waganga wenu walivyowambia?
Au wana 'hit na kubamba' sana?
Au ni dhana mliyojiwekea?
Au ukimchukua mwenye wowowo kidunchu utachekwa?
Au mnataka msifiwe mkikatiza nae kitaani?
Au...??? au...??? au..???
Nipe majibu.
 
Hivi kwa nini nyie wanaume wa siku hizi mnapenda wanawake wenye bambataa kubwa?
Mna siri gani nyuma ya pazia?
Mnakifata kitu gani ktk hzo type za kalio?
Au ndo waganga wenu walivyowambia?
Au wana 'hit na kubamba' sana?
Au ni dhana mliyojiwekea?
Au ukimchukua mwenye wowowo kidunchu utachekwa?
Au mnataka msifiwe mkikatiza nae kitaani?
Au...??? au...??? au..???
Nipe majibu.
ngoja nikupe majibu kwa mtazamo wangu binafsi.............

moja ya waalimu wangu wa haya mambo alikuwa kafungashia huku behind, alinifundisha jinsi ya ku handle hilo zigo nikajikuta nazama katika aina iyo ya wanawake, kwa kweli nikiona mwanamke analo la kutosha mwili uwa unanisismka mapigo ya moyo hubadilika, ukiacha tu ujiko ambapo mkiwa mnakatiza kitaa watu wote hugeuka hata wadada baadhi hugeuka kuona basi mie hapo roho yangu husuuzika,

kwa kifupi napenda vitu vikubwa, msichana awe mrefu, asiwe na mtindi mkubwa sana, na tumbo lisiwe kubwa halafu sifa kuu ni nyuma hapo hata nyumba ntahonga hehehehehhehehe
 
Wewe MtotoSix majibu yote umejibu wewe sa' wenzio tujibu nini ebo? Fikubwa fina ladha zake wewe, si mucheso!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom