Ni zamu yangu sasa

nenda kule mapokezi,
wanaingia warembo kila siku.
ukisubiri wakikomaa hupati kitu...
tena watu wabaya humu sio vijana wenzanzako...
ni wazee na nywele zao nyeupe... Asprin Bishanga na Kaizer just to mention a few.
wanakimbiza mbaya na swagga zao za kizee...kwa iyo deal na hao sisi vijana hatuna sumu humu.
Embu rudia,umesema??
 
Last edited by a moderator:
MtotoSix nahic kukuzimikia ila sifa ulizotaja sina. mie slim kama miss tz wa mwaka jana! je nina nafasi. BTW nipo single baada ya kufaulu mitego yote ya akina wakati ndio sasa, Ruhazwe JR, figganigga na wengineo. nafikiri wana chit chat wanalitambua hilo. . . asante na karibu!

hapo sasa umeongea la maana, na mimi nahisi kupunguza vigezo na masharti hehehehhe ujue sijawai pata kipotabo
 
hapo sasa umeongea la maana, na mimi nahisi kupunguza vigezo na masharti hehehehhe ujue sijawai pata kipotabo

pamoja na kupunguza vigezo na mashart je umenikubali tutangaze ndoa fastafasta sitaki kupoteza muda eti. . .
 
Back
Top Bottom