Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,457
- 2,435
Huu wimbo ameimba Nani? Nautafuta sana, na nahutaji nyimbo zingine kali za aina hii.
Shukran mkuu ngoj niusakeMkuu kuna la wimbo huo ni VB Titanic
Penzi kikohoz wa fresh jumbe
Post namba 118. Unakwama wapi mzee?Naomba nieleweke namna ya kuingia page hiyo
Nyingine YouTube hakuna tusaidie mzee mfano
Nyimbo nyingi zipo YouTube, uwe unajaribu kuzitafutia YouTube
Nilikosea KakaMkubwa... wimbo nilikusudia ni "Natanga na njia"
Huo kila nikitafuta naletewa zumbukuku na the like na ndo maana hata hapo nikajichanganya!
Mtumpole
Nenda YouTube zipo nyingi tu utaweza kuzi-downloadHasa nyimbo za marijani rajabu na mbaraka mwishehe
Kuna watu wanazo zenye ubora kuliko hata za youtube.Nenda YouTube zipo nyingi tu utaweza kuzi-download
Sasa hivi Album nyingi za zamani hasa kutoka Bongo Records zimewekwa Boomplay, ni wewe tu kuenjoyKuna watu wanazo zenye ubora kuliko hata za youtube.
Soma post #10,906Kuna watu wanazo zenye ubora kuliko hata za youtube.
Mkuu naamin vitu unavyoS
Soma post #10,906
Niwekee link ya hii postMkuu naamin vitu unavyo
Ikikupendeza fanya mambo.
Hiyo uliyoweka ndo ubora nauhitajiView attachment 1813914
Usikilize na huu (Walimwengu ~ MARIJAN RAJABU & DAR INTERNATIONAL ORCHESTRA)Dunia uwanja wa fujo nishapita nayo shaaa
Ile link haina nyimbo kabisaNiwekee link ya hii post
Nishachukua hiiUsikilize na huu (Walimwengu ~ MARIJAN RAJABU & DAR INTERNATIONAL ORCHESTRA)