Inaimbwa hivii

Naamka asubuhi najikuta mfupiii,
Nikicheki kiunoni nina bonge la chupii,
Naingia kabatin nakutana na mjusiii,
Nachukua mkuki natoana nae ndukii,
 
Kuna huu wimbo wa kundi linaitwa "Thugcity".... Unaitwa "Proposition", ni ngoma kali sana ya R&B ilitolewa miaka ya 2006. Naitafuta sana.... Youtube haipo na hakuna sehemu online nimeiona....

So kama unayo nitashukuru sana....... Natuma sample yake kuna mwana anaisikiliza kwenye gari...
 
Jana katika pita pita zangu, alipita bodaboda mmoja kuna ngoma inapigwa mashairi yake machache yanaknivutia kuisikiliza.. Ni hip hop ile, chorus ni km mr blue hiv kama sijakosea..

Baadhi ya maneno yake.. Siwezi kuwa sahihi 100%
"Sometimes bodaboda hawali chipsi, ila wanapakia mishikaki"
"Roho mbaya haijengi, hata kiwanja haina"

Kiitikio wanasema we mtoto acha kulia lia sijui acha kufanyaje..
 
waungwana kuna song la zamani kurasini sda wanaimba " siku zinakuja mbele siku za kuhuzunisha siku ambazo hatujapata kuona mfano wake " ole ole ole kama kuna yeyote atakuwa nalo nitabarikiwa sana.
 
Jana katika pita pita zangu, alipita bodaboda mmoja kuna ngoma inapigwa mashairi yake machache yanaknivutia kuisikiliza.. Ni hip hop ile, chorus ni km mr blue hiv kama sijakosea..

Baadhi ya maneno yake.. Siwezi kuwa sahihi 100%
"Sometimes bodaboda hawali chipsi, ila wanapakia mishikaki"
"Roho mbaya haijengi, hata kiwanja haina"

Kiitikio wanasema we mtoto acha kulia lia sijui acha kufanyaje..
Bando Ft Mr. Blue nyimbo inaitwa USWAZI utaipata kwenye site za kudownload hata you tube
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom