jackson benty barua kwako mpenzi
Nimeupata ila nimeshindwa kudowload msaada kwa wakali Wa kudownload. Download halafu utupie humu tafadhali
Screenshot_2020-07-01-07-48-37.jpg


Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Natafta taarab moja ya miaka hiyo nyuma huko inaitwa "mahaba sio kwanza mageni nami najua kupenda nikipendwa mimi"
 
Idimi nimetafutaga siku nyingi sana ngoma hizi
1. Luten karama najitoa mhanga
2.snaree ft ngwea ratiba zetu
3.rich one sauti yangu
 
MBONA HUU UZI KWA SASA SIONI KAMA MISAADA INAPATIKANA TENA?!!!! WATU WAMEKWEMDA LIKIZO AU NDIO UMEZOELEKA MTU ANASOMA TU! NA MSAADA HATOI JAPO YUPO KWENYE HUO UWEZO WA KUSAIDIA!?? JAMANI UKIONA WIMBO MTU ANATAFUTA NA UNAWEZA KUSHARE HUMU, NAKUOMBA FANYA HIVYO TAFADHALI
 
Kuna wimbo wa Sister P unaanza na "Hey Hey Dj fanya mavitu watu wawe crazy piga bongo fleva nasi tuje......" niliusaka siku bahati mbaya Youtube waliufuta kutokana na Copyright issue! Mwenye nao anisaidie....na kuna mdau kaomba audio ya ishi stars usione soo hii ninayo shida inagoma kuupload nitajaribu kwa laptop nione kama itakubali...
 
Enheee wakuu khabar za siku nyingi.
Tafadhali naomba wimbo was Baba Levi ft Juma necha Dude linaitwa Wanyee.
Aisee hiyo ngoma ni Kali sana sana Sana'a.
Tafadhali wakuu
Idimi na team yake.

Safiiiiiui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom