Assa Kamwela
Member
- Aug 18, 2018
- 87
- 25
Naomba wimbo Q chief_kinafulani
Mkuu KIOO nisaidie nyimbo za Snoop Dogg zote ulizo nazo
Mkuu KIOO nisaidie nyimbo za Snoop Dogg zote ulizo nazo
Nisaidie audio ya hii pls
Nisaidie audio ya hii pls
kuna nyimbo fulani mbili za bongo fleva nilikuwa nazisikia sana 2004 sijui nani aliimba
mmoja unataka kufanana na ule nampenda kikongwe lakini kwenye mashairi yake kuna sehemu anaimba "Nimedharauliwa sana.." pia mwingine sehemu ya mashairi yake inasema "mama yake amesema niachane na mwanae na mwanae bado anasoomaaa eeh" na wa mwisho ni huu hapa chini.Nataka kujua unaitwaje na nani kaimba
View attachment 1151598
Album ipi ndugu...?
Nisaidie audio ya hii pls
Kka unaeza niwekea na Audio yake hii ngoma
Kka unaeza niwekea na Audio yake hii ngoma, pamoja na nyingine inaitwa Bigger, stronger, harder
Kioo
Kuna nyimbo kaimba dataz na q chief ni zamani kidogo kjma sehem wanaimba ....dataz natawala nyota njema imeng'ala ....
Ebhana kama unayo naiomba nahis ilikua ni ya 2002 kama ckosei
Nisaidie namna ya kuipata au nai search vp ? Au nipe jina lakeNilishaiweka humu mkuu.
Nilishaiweka humu mkuu.