Ni huu?Mkuu KIOO kuna ngoma moja hivi ya kitambo ameimba mdada mmoja na mshkaji inasema "penzi la ndoa ni tamu tamu, halina kificho... "
Msaada mkuu.
Ni huu?Mkuu KIOO kuna ngoma moja hivi ya kitambo ameimba mdada mmoja na mshkaji inasema "penzi la ndoa ni tamu tamu, halina kificho... "
Msaada mkuu.
Kioo wewe ni robot ama?Ni huu?
Vipi ule wimbo wa TID-Monalisa mpenziGlad to hear that...!
Much respect to you too brother.
Salute mkuu.
Mkuu tembelea thread moja hvi ya nyimbo za drc.. ukifungua tu jukwaa la enterteinment utaipata.. then search huo wimbo..Huo ni wa Sikinde,Album ya Huruma kwa Wagonjwa. Nadhani upo Youtube. Ndani yake kuna nyimbo zingine kama Amina(dedication ya Mpakanjia kwa Amina Chifupa,wote R.I.P) ,Leo Furaha nk
Thanks sana mzee baba ila hiyo safari ni ya Shusho sio hii ya mwaipaja.... Ukiipata poa pia bila kusahau Funguo ya snare