mwamuzi wa kesi shahidi
Senior Member
- May 31, 2018
- 176
- 177
Mkuu kuna wimbo wa black rhino, mpenzi njoo, usijali wanavyoniita mi bishooPitia vzuri huu uzi.hiyo ngoma imewekwa na tena haupo kurasa za mbali
Mkuu kuna wimbo wa black rhino, mpenzi njoo, usijali wanavyoniita mi bishooPitia vzuri huu uzi.hiyo ngoma imewekwa na tena haupo kurasa za mbali
Kuna nyimbo ivi wanaimba corus "Time after Time" sijui Nani aliimba, mwenye nao anisaidie please
Siyo wa cynd lauper kweli mkuu?Kuna nyimbo ivi wanaimba corus "Time after Time" sijui Nani aliimba, mwenye nao anisaidie please
Kuna wimbo kaimba crazy buffa wimbo unaimbwa hivi "muziki ni fani au tuko mashakani mbona hii fani mimi siioni " ndo inavyoimbwa
NINAO UNAITWA NILIKUONA UPO CLUB KUUPANDISHA HAPA NDIO SHIDA. SIWEZAGIbaba ningeuona ningeshapita nao siku nyingi sana kama unao fanya mpango basi mkuu
Yawezekana, sema jina aliyeimba simjuiSiyo wa cynd lauper kweli mkuu?
Bofya "Reply" kwenye post ya huyo jamaa ili aone..halafu bofya "ATTACH FILES"NINAO UNAITWA NILIKUONA UPO CLUB KUUPANDISHA HAPA NDIO SHIDA. SIWEZAGI
Dakika Moja ya Ngwea wakuu
Au kama kuna mtu ana ile albamu yake ya NGE
0755433179 whatsapp tafadhaliNINAO UNAITWA NILIKUONA UPO CLUB KUUPANDISHA HAPA NDIO SHIDA. SIWEZAGI
>TMK majita_Utamu bila kunawa
>Danny Msimamo_Nipo kama simo
>Nimemsahau msanii ila wimbo unachorus "usiulize nani kafa we jua tu amekufa"....