Dah... Nimekubali kaka, vipi una weza kuwa na mixtape iliyokuwa na wimbo huo iliyotolewa na FM Studio?
 
kila ninavyozidi kizisikiliza na nyingine zinanijia maana mwaka nilikua nina kanda (tape) 198 nakumbuka na zote nilikua narecord vipind vya bongo flaver vya Abubakary Sadiq so nina correction naanza kuirudisha kupitia humu..

kuna hizi nyingine.
Jaji Hakim-hivi ndivyo ninavyofanya
Wakina Mike Tee- Masela ( hae hae masela, tupo kamili si masihala, hae hae masela)
Style Gani - jamaa wa kundi la kina joslyn
Zay B ft Jay Mo - Hatari Kitu Gani
Kafa- Kafa nani, usiulize we jua tuu amekufa.
Matomya- Mrembo na Uaminifu
Solid- Baba Jane
Zigzagg crue-jiko limenuna
bantu mcz-tangazo
 
Nyama ya bata ni tamu sijui ni tot taarab vile kitambo sana kaimba mwanaume simjui in nani jina lake nilionaga na video yake zamani sana 1998 kama sijakosea
 
-Nitarudi na kusema,baba yangu nisamehe,
- Njoo wangu mfariji
- Haya twendeni wote kule Bethlehem tukamwone mkombozi wetu

by RC church gospel songs

Nitafurahi sana nikizipata hizi mana zitanikumbusha mbali sana
 
"Niishi vipi nikae na nani hapa duniani moshi wa pilipili machoni chozi la damu mbele sioni" hayo bi baadhi ya maneno ya wimbo wa msanii wa zamani katika wimbo fulani nakumbuka kiitikio tu ila Nina la wimbo na msanii sikumbuki sema sauti yake inataka kufanana na q chief ni wimbo fulani wa majonzi hivi anaeujua na mwenye nao autume tuupakue tafadhali nitashukuru kama nitaupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wa Mesen Selekta mkuu ni wa Benjamin wa Mambo jambo... Unaimba ooi oo Mama nimekipata kinanda x2 Hodi hodi hodi Mama fungua mlango nipite ndani.. Mimi mwanao Benjamin nimetokea safarini mama... Nilisafiri Baharini.. Nchi kavu mpaka angani.. Kenya Uganda nimefika.. Afrika nzima nimezunga.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom