Ni Wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
1,182
Points
2,000
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
1,182 2,000
Ngoja niweke mashairi Kwanzaa song linaanza au linaelezea jamaa anaenda kwa mganga apate utajiri ila mganga anamwambia awaue wazazi wake jamaa linakubali baadae mambo yanamuendea kombo plus mawazo anaanza kulewaShairi ninalolikumbuka ilikuwa bongo flavor ya kipindi hicho

Pesa na majumba, ni vitu vya kutafuta
Usifanye wewe pupa, utakuja kuvikuta
Ona baba yako umemzka, huna huruma na mama yako mume mzma,
Sasa umebaki ohii

Lengine linasema
Mganga kamwambia, awaue wazazi wake ili apate hzo pesa zake
Akasema yeye hawezi kwani wao ndo tegemezi

Anaekumbuka tafadhali
 
Bigbootylover

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
2,650
Points
2,000
Bigbootylover

Bigbootylover

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
2,650 2,000
Wakali Kwanza NIITE BASI REMIX ile wanatamani me nushuke niwe chini yao....Pia kuna ike nyimbo ya Kofi siijui jina lakini inaimbwa Nanga Nanga Bolelangaaaa mwanamama aaaaah mwana Mama aaaah....Tamu tamuuu tamuuuuu, siijui tu inaitwaje nikiijua title nahisi nitaipata
 
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Messages
13,180
Points
2,000
Eddy Love

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2011
13,180 2,000
Ngoja niweke mashairi Kwanzaa song linaanza au linaelezea jamaa anaenda kwa mganga apate utajiri ila mganga anamwambia awaue wazazi wake jamaa linakubali baadae mambo yanamuendea kombo plus mawazo anaanza kulewaShairi ninalolikumbuka ilikuwa bongo flavor ya kipindi hicho

Pesa na majumba, ni vitu vya kutafuta
Usifanye wewe pupa, utakuja kuvikuta
Ona baba yako umemzka, huna huruma na mama yako mume mzma,
Sasa umebaki ohii

Lengine linasema
Mganga kamwambia, awaue wazazi wake ili apate hzo pesa zake
Akasema yeye hawezi kwani wao ndo tegemezi

Anaekumbuka tafadhali
Anaitwa KAMBI -Pesa na majumba huo upo youtube
 
Iringa Native

Iringa Native

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Messages
930
Points
1,000
Iringa Native

Iringa Native

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2011
930 1,000
Nina shida na nyimbo ya komba ile ya jogoo limewika Dodoma
 
F

Fernando 9 Torres

Member
Joined
Jul 21, 2019
Messages
8
Points
45
F

Fernando 9 Torres

Member
Joined Jul 21, 2019
8 45
Samahani...... Kuna wimbo nautafuta umesikika kwenye movie ya DAR TO LAGOS ya marehemu Stephen Kanumba wakikiwa kwenye ndege wanarudi Tanzania inaimbwa "Narud nyumbani, kwetu nyumbani hii, Nmemkumbuka Baba yangu mpendwa" Naomba mwenye nayo au anaejua nani kaimba anisaidie
 
G5crank

G5crank

Member
Joined
Nov 26, 2011
Messages
60
Points
95
G5crank

G5crank

Member
Joined Nov 26, 2011
60 95
HIVI WANA JF NANI ANAEMKUMBUKA JAMAA MMOJA ANAITWA EMMANUEL NKULILA, ALITAMBAGA SANA MIAKA YA 1990'S MWISHONI KUNA NYIMBO NAIKUMBUKA ALIIMBA TANZANIA HAKUNA MREMBO KAMA WEWE. MWENYE NYIMBO ZAKE YULE BINGWA ADONDOSHE NAMTAFUTA SANA.
 
G5crank

G5crank

Member
Joined
Nov 26, 2011
Messages
60
Points
95
G5crank

G5crank

Member
Joined Nov 26, 2011
60 95
MWENYE NYIMBO ZA PAULINE ZONGO, WALIMWENGU_NAJUTA_KAMA WANIPENDA_DUNIA.
ANITUMIE AISEE NAMKUBALI SANA PAULINE ZONGO.
 
T

TEZI JIKE

Member
Joined
Jul 14, 2019
Messages
41
Points
125
T

TEZI JIKE

Member
Joined Jul 14, 2019
41 125
Sorry kwa hiyo image imekuja bahati mbaya na nimejaribu kila juhudi za kuitoa zimeshindikana ugeni bado
screenshot_20190911-064232-jpeg.1204091
 
ROGATH MCHAU

ROGATH MCHAU

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Messages
237
Points
500
ROGATH MCHAU

ROGATH MCHAU

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2017
237 500
HIVI WANA JF NANI ANAEMKUMBUKA JAMAA MMOJA ANAITWA EMMANUEL NKULILA, ALITAMBAGA SANA MIAKA YA 1990'S MWISHONI KUNA NYIMBO NAIKUMBUKA ALIIMBA TANZANIA HAKUNA MREMBO KAMA WEWE. MWENYE NYIMBO ZAKE YULE BINGWA ADONDOSHE NAMTAFUTA SANA.
HUO WIMBO UPO YOU TUBE
 
mwanakijiji lugusi

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined
Apr 13, 2016
Messages
110
Points
225
mwanakijiji lugusi

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Joined Apr 13, 2016
110 225
Nisaidie wimbo wa sugu feat dully usiku ndo huu yakitambo sana
 
T

TEZI JIKE

Member
Joined
Jul 14, 2019
Messages
41
Points
125
T

TEZI JIKE

Member
Joined Jul 14, 2019
41 125
Nisadieni ngoma moja ameshilikishwa steve kabuye inaitwa TANGAZO nahisi kama na bandago yumo nyingine jina nimesahau na muimbaji nimemsahau kiitikio kinasema "wacha part wee ngoma lipigwe watu wacheze wacha part iendelee"
 
Smart Guy

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Messages
2,149
Points
2,000
Smart Guy

Smart Guy

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2016
2,149 2,000
ndg KIOO Danny msimamo ft mkoloni - nilikuona upo club. nauomba tafadhali.
 
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,864
Points
2,000
Farolito

Farolito

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,864 2,000
Wakuu nisaidieni wimbo 'Chozi la yatima wa Jose Mara nimeutafuta bila mafanikio
 
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
2,021
Points
2,000
evonik

evonik

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
2,021 2,000
KIOO Bado tu mkuu, birthday haijaisha ukuje huku tuniataji huduma yako iliyotukuka
 

Forum statistics

Threads 1,336,206
Members 512,562
Posts 32,530,544
Top