Ni Wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
1,621
Points
2,000
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
1,621 2,000
Wakuu, naombeni mwenye kujua jina la msanii aloimba hiki kibao pamoja na jina la kibao chenyewe anisaidie.
 

Attachments:

V

Victor Ngowa

Member
Joined
May 12, 2019
Messages
48
Points
125
V

Victor Ngowa

Member
Joined May 12, 2019
48 125
msaada wakuu
1:paipam soldier ft gnako v_ vumilia
2: king gk ft Jeff jafary _ shika mic
3: dani msimamo ft mkoloni _ aku
4: paipam soldier _ nipe gwara nipe tano
5: Q chief ft fanani _ mwana mnyonge
wakuu hapa nimepata hiyo namba 5 tuu
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
6,328
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
6,328 2,000
wimbo :sinyorita

muimbaji simfahamu ila lugha iliotumika ni kiswahili
 
gwankaja

gwankaja

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
4,404
Points
2,000
gwankaja

gwankaja

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
4,404 2,000
Nyimbo nazozisaka bila mafanikio

Tulia nami-Akili tribe
Week end-G Solo ft k bazil
Album nzima ya nje ya bongo ya Mr 2
Kipi kikusikitishacho-CBM CREW
Afande anasema-Afande Sele
 
T

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2013
Messages
553
Points
500
T

Ta Nanka

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2013
553 500
Mwenye wimbo wa "nimepamiss home" wa mwanachemba Dark Master.
 
Mkwawa mnyalukoro

Mkwawa mnyalukoro

Senior Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
110
Points
225
Mkwawa mnyalukoro

Mkwawa mnyalukoro

Senior Member
Joined Oct 11, 2017
110 225
Natafuta wimbo fulan wa kitambo sana kashirikishwa alikiba unaitwa bado natafuta nisaidien
 
Ebwanandio

Ebwanandio

Member
Joined
Aug 23, 2019
Messages
32
Points
95
Ebwanandio

Ebwanandio

Member
Joined Aug 23, 2019
32 95
Asante mkuu, kama unayo hohehahe ya swahili by nature au kitambo kidogo ya Bdp au tumbo deni la dunia ya Uswahilini matola weka pia.
 

Forum statistics

Threads 1,336,211
Members 512,562
Posts 32,530,791
Top