Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Mr Sas

Member
Feb 2, 2015
60
125
Wakuu kuna wimbo mmoja wa EAST COAST TEAM unaitwa TELL ME WHY waliutoa kufuatia kifo cha Marehemu COMPLEX NA VIVIAN mwaka 2005 mwenye nao auweke hapa kwenye huu uzi,
 

jajuu

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
327
500
Huo ni wa Sikinde,Album ya Huruma kwa Wagonjwa. Nadhani upo Youtube. Ndani yake kuna nyimbo zingine kama Amina(dedication ya Mpakanjia kwa Amina Chifupa,wote R.I.P) ,Leo Furaha nk
Mkuu tembelea thread moja hvi ya nyimbo za drc.. ukifungua tu jukwaa la enterteinment utaipata.. then search huo wimbo..
 

Halord

JF-Expert Member
May 1, 2016
215
250
Kuna kwaya moja ya RC inaimba kuhusu kutoa mimba sijui jina la wimbo au kwaya
Una anza kwa padre kutoa onyo kwa wanaotoa mimba kisha wanaimba watoto " Naliaa, mimi nalia, . .. Wanaitiki nalia kwa uchungu.
 

Tomasi Sankara

Senior Member
Oct 6, 2018
106
225
Wakuu naitaji mwenye nyimbo hizi. 01 Public enemy- "fight The power" 02.sugarhill Gang-"Rapper's Delight". 03.Dr.Dre-"Nuthin But A 'G' Thang" 04.Run-DMC ft/Aerosmith-"walk This way" 05.N.W.A-"straight outta compton " 06.Notorious B.I.G-"juicy" 07.Snoop Doggy Dogg-"Gin and juice" 08.salt-N-pepa-"push it" 09.Eminem "Stan" 10.Jay Z-"Hard knock life"
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
3,906
2,000
KIOO niwekee wimbo wa Jose Mtambo! Niliomba humu kwenye post za nyuma. Una kiitikio cha "heeya he" Jina lake hata silifahamu.
 

kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
4,173
2,000
Wimbo Wa Mabaga fresh unaitwa
-Hakuna noma wala ngendembwe wako na Mac D
-Wimbo Simulizi za ufasaha Wa Gangwe Mobb
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom