Ni Wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

V

Victor Ngowa

Member
Joined
May 12, 2019
Messages
39
Points
95
V

Victor Ngowa

Member
Joined May 12, 2019
39 95
1: niacheni nimuoe_john woka ft dully sykes
2: tuko bwaa rmx capital letaz
3: neema rmx John flower ft rogath catapila & banza stone
4: nyimbo za diamond sound zile za mwanzoni kabisa kimalu malu na nyinginezo
 
Gota8s

Gota8s

Senior Member
Joined
Aug 4, 2014
Messages
142
Points
225
Gota8s

Gota8s

Senior Member
Joined Aug 4, 2014
142 225
Habarini wakuu.

Kuna wimbo niliusikia mwaka 2012 nadhani muimbaji ni mkenya.. ila mashairi yake kidogo yako hivi;

...ingawa yupo hapa hapa duniani,
lakini uzuri kama katoroka peponi,
lazima mimi nimuweke ndanii."

Kama kuna mtu anaufaham tafadhali naomba anijuze japo jinale na mwimbaji. Ama ikiwa pana mtu anao, naomba
 
B

binswedi

Senior Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
113
Points
250
B

binswedi

Senior Member
Joined Dec 1, 2013
113 250

Attachments:

V

Victor Ngowa

Member
Joined
May 12, 2019
Messages
39
Points
95
V

Victor Ngowa

Member
Joined May 12, 2019
39 95
asante mkuu ila huyu neema nilikua na shida na ile rmx yake ndani yupo banza stone
 
V

Victor Ngowa

Member
Joined
May 12, 2019
Messages
39
Points
95
V

Victor Ngowa

Member
Joined May 12, 2019
39 95
hizo za daimondo saundo the best of the best kama unazo nyingine niwekee hapa tafadhali
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,036
Points
2,000
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,036 2,000
Wakuu,hongereni sana kwa uzi kama huu,kuna baadhi ya nyimbo nazitafuta zikiemo
1.long distance lover-jay mo ft domokaya
2.mtoto wa raisi-qchief
3.ukibebwa jishkie-crazy buffa ft banana
4.nyimbo zote za war will!
Naomba kuwasilisha.
 

Attachments:

KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,036
Points
2,000
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,036 2,000

Attachments:

N

nnyenya

Member
Joined
Apr 27, 2019
Messages
29
Points
75
N

nnyenya

Member
Joined Apr 27, 2019
29 75
Ahsante sana kaka ila huyu hayati marehemu hiyo ngoma yake ndiyo nitakuwa nimemalizana nawe sana sana utakuwa unanidai wewe
 
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,036
Points
2,000
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,036 2,000

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,313,930
Members 504,678
Posts 31,808,481
Top