Soggy dogy ni story,ni story ambayo soggy alitusimulia,n story akikumbuka huwaga analia.ntafutie hii mkuu
1 K Lyn-vipi nitakudhibiti usitongoze vibinti
2 nyimbo za Justine Kalikawe
Wakuu kwema???
Naombeni mwenye wimbo wa joslin ft nature-huyu demu simwelewi anisaidie plz.
Naombeni mwenye nyimbo ya oten na afande sele tusahau yote yaliyopita..afande alipiga boonge la verse..refu sana la ukweli kinoma
Na dogo ditoo na kina afande sele wimbo sijui unaitwaje ila kuna mahali wanaimba "wenye upendo huleta tumaini"
aliimba wimbo gani huyo??Mwenye Nyiombo za kijana mmoja alimuwa anajiita "Only face" naziomba
Mkuu salute hii song nalikubali nakumbuka nishawai liandika kwenye barua enzi izo mzee.shukran sanaaaSababu mm maskini..
ukaamua ww kuniacha mm
kumbuka mi na ww tulikula yamini
ukaapa kwa kwa Mungu huniachi mm....
ngoma hizi zilikua zinapatikana kwenye album ya 2proud, 'ndani ya bongo'na 'nje ya bongo'Usilete blah blah peleka huko blah blah atupendi blah
Mkuualiimba wimbo gani huyo??
Msaada nipate Steve Kekana_Lindanialiimba wimbo gani huyo??
Kioo nimeamini kweli we Ni Kioo maana nimejiona
Asante mkuu.
mkuu msaada wimbo wa lady issa sugar dady nakuomba sana
mkuu sijui hata nikwambie nn ila kikubwa cha kukuombea ni AFYA kutoka kwa mungu mana AFYA ndo kila kitu nakushukuru sana tena sanaNajua ntakuwa nimekidhi haja ya moyo wako mkuu. Enjoy the vibes.