Ni wazo jingine nagawa .... Karibu tupeane fursa zinazo mzunguka raiya na zenyeulazima katima maisha ya mwanadamu

Gerald1

Member
Jan 17, 2022
89
111
Ni mashine ya kuchuja maji kuondoa magad, chumvi chumvi ,kutu pamoja na rangi na kufanya maji kuwa Safi na salama pia ni ya baridi.

IDEA NI !
Je unafahamu kuwa mashine hizi huingiza kipato kikubwa sana kama tu hukiweka katika mikusanyiko ya watu

MFANO : masokoni, mashuleni, na katika mastendi ya maloli na mabasi na katika sehemu nyinginezo zenye mzunguko na mkusanyiko wa watu.

UFANISI : weka kijana wa huduma na mpe dazani ya makopo ya nisu lita yalio mapya kiwango ukiwezacho ....

BEI : weka Bei kwa kila atakae Kinga kopo moja mia 100 hiyo ni kwa Dar es salamu...............Na Kama upo mkoani fanya mia 200 kwa kopo nisulita kwa raiya atakae Kinga .... Ni biashara ya kiasi kidogo tu cha pesa Ila ukuletea faida kubwa kwa siku, je unazani unalita elf2000 au elf3000 na zaid na likaisha lote kwa siku utakuwa umeingiza kiasi gani na piga mara mwezi mbaka mwaka unakiasi gani....... Ebu tuache lala Kama unauwezo wa fedha fanya hiki utakuja nishukuru badae.

MASHINE : beizake kuanzia milion 5,000,000 mpaka milion 25,000,000 kutokana na kutofautiana katika kiwango cha uzalishaji.

4053727fe234062fa82a275c16d5fc75e9acc320_1.jpg

500621_screenshot-2020-06-17-10-08-06_1080x819.jpg
 
Nikiwekeza hiyo 25M itarudi baada ya muda gani?
Miez 10 kama unaingiza kila mashine elf 50000 ikawa kwa siku unafunga hesabu na laki 100000 na ukawa kwa mwezi una milion 3,000,000 ndani ya miezi 10 tu, unakuwa umerudusha kiasi chako na faida, na huo ni mzunguko wa kawaida sana...Acha nikushauli sasa, Ununue mashine mbili za milion 9.500,000 kwa kila mashine moja na kuziweka sehemu mbili tofauti na milion 6,000,000 ilio baki toa milioni 4,000,000 kwa ajiri ya kuandaa mazingira ya mashine zako zitakapo kalia namaanisha kodi na kujengea nakama kuna flem tayar lipia kodi na kuvutia maji Ila mita iwe yako binafsi hisiwe ya kushea umeme funga mita yako pia isiwe ya kushea na hiyo milion 2,000,000 nenda kiwandan au agiza uletewe makopo ya milion 1,000,000 unagawa nusu kwa nusu katika mashine zako zote mbili na milion 1,000,000 chukua tank mbili kubwa, hapo utakua mwenye kutengeneza kiasi kizur sana cha fedha
 
Kwenye hiyo 5m nikinunua CHEST FREEZER kwa 1m kuna tofauti gani na hiyo mashine yenu
Hi mashine ina chuja taka zote pamoja na chimvi na magadi na kutoa maji yaliyo baridi, Hiyo chest freezer inafanya tu maji kuwa barid lakina haitakasi inatoa maji Kama yalivyo .
 
Hi mashine ina chuja taka zote pamoja na chimvi na magadi na kutoa maji yaliyo baridi, Hiyo chest freezer inafanya tu maji kuwa barid lakina haitakasi inatoa maji Kama yalivyo .
Mashine hizi ndio zile zinazo tengeneza maji ya kwenye makopo unayo yaona mitaan kwako Ila mi nimeleta wazo tofaut ili mtu asiangaike kutafuta soko .
 
Mashine hizi ndio zile zinazo tengeneza maji ya kwenye makopo unayo yaona mitaan kwako Ila mi nimeleta wazo tofaut ili mtu asiangaike kutafuta soko .
Na pia Cha kukuongezea CHEST FREEZER haibebi maji yenyewe na kutoa na pili chest freezer hauwezi mimina maji tupu bila ya chombo na kingine haina koki ya kutorea maji.
 
Na pia Cha kukuongezea CHEST FREEZER haibebi maji yenyewe na kutoa na pili chest freezer hauwezi mimina maji tupu bila ya chombo na kingine haina koki ya kutorea maji.
Sasa huoni kama unatumia Nguvu nyingi na gharama kubwa ili uje uuze KANDORO ya sh 100..
 
Sasa huoni kama unatumia Nguvu nyingi na gharama kubwa ili uje uuze KANDORO ya sh 100..
Hiyo ni ya kisasa zaid pale ufungi Wala uweki watu huchukua chupa na kukinga na uzalishaji wake tofauti na muuza kandoro hiini kubwa zaid maana unaweka katka mikusanyiko na pia kwa mashine moja kufunga 50000 nimeweka hapo ndiyo Kama umekosa yaani biashara imekuwa mbaya lakini ni zaid lak 1,000.00 au laki 2,000,00 kwa siku Kama ikiwa jua kali najoto jingi
 
Je mfunga kandoro ana safisha maji au anatumia ya dawasko yalio mazito katika koo na yenye magadi yale ni maji ya kupikia na kuogea bado sio Safi kwa kunywa.
 
Je mfunga kandoro ana safisha maji au anatumia ya dawasko yalio mazito katika koo na yenye magadi yale ni maji ya kupikia na kuogea bado sio Safi kwa kunywa.
Kingine watu wengi wa Sasa wanapenda waone usalama kwa wanacho tumia ikipaki nyumbani na uwauzie yaan upati ki kabisa labda uwapate waushaz wezako wa5 au 10 lakini kwa anae jua na kiijari afya yake ukuti akitumia hiyo kandoro, je ulisha wahi jiuliza ni kwa nini ofis kubwa na mahospitar awatumii maji ya dawasko bila ya kuyasafisha na hizi mashine, ebu chunguza ujue umuhimu wa maji safi kwanza.
 
Na bora utumie nguvu ya pesa nyingi Ila biashara yako iwe Safi na salama kwa binadamu wenzako, na pia hukupa pesa ya kila siku ukifanya uchunguzi maduka menge ya nguo hua ayaingizi kabisa kiti bila kutangazwa, Ila hiki ujitangaz wenyewe huja na kujiudumia.
 
Hii ndo kama ile wanafanya pale mawasiliano?(jina nimesahau) Hongera mkuu kwa wazo hiko
 
Wazo zuri kwa maeneo ya uhaba wa maji safi.

Si ndio kusema Mtu waweza hata kutumia maji ya mfereji yakasafishwa Watu wakayatumia majumbani?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom