John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..
Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo....
1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji
na vigezo vingine vingi tu......
Anahitajika rais mwanye jazba,bila kupata rais mwanye jazba hatutaweza kujenga taifa imara kwani kutakwa na mzaha mzaha.
Sijui lini nchi hii atatokea kiongozi wa aina ya sokoine au Agustino Mrema.hawa ndio wangeweza kuleta mabadiliko ya kweli na pia viongozi wa aina hii ni hadimu sana kutokea.....
Padri akishika hii nchi basi yesu karudi hao wengine napita.....
Ila mmoja ni mwizii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!....
Mwingine naye mshirikina sana
Mshirikina ni yupi?Hebu mtujuze.
Na Hamis Bagashe Kingwalala
John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..
Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo...
Anahitajika rais mwanye jazba,bila kupata rais mwanye jazba hatutaweza kujenga taifa imara kwani kutakwa na mzaha mzaha.
Sijui lini nchi hii atatokea kiongozi wa aina ya sokoine au Agustino Mrema.hawa ndio wangeweza kuleta mabadiliko ya kweli na pia viongozi wa aina hii ni hadimu sana kutokea.....
Hama sisi tutabaki na kula mema ya nchi. Halafu EL ndio first. Wewe hujui kitu chochote.
Hapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli
Ongeza na Ponda Issa Ponda
bila kujitambua katu hatutoweza kutoka kwenye umaskini? Just imagine watu wamelitengeneza giza na kuingia mikataba ya hajabu leo hii tunasema wanafaa kuwa viongozi. Mtu aliye na uchu wa madaraka kupindukia anayelalamikiwa na chama chake bado anatajwa kuwa kiongozi wa nchi. Mtu ambaye amekuwa akitoa maneno ya kuidhoofisha serikali yake kwa ajili ya kupata ushawishi leo tunamtaka hawe rais. Kwa mazingira ambayo tayari watu wamekula zao kwenye gas na mafuta, je hunawezaje kumweka mtu aliyehukumiwa na jamii kuwa ni fisadi? Tazama midomo yake anapokuwa kwenye harambee kila kona makanisani ni dhairi anatokwa udenda wa madaraka. Matajiri wako nyuma yake na wanamsaidia kupiga hatua huyo kweli awe rais wataifa linalotarajia gas na mafuta kuwa mkombozi? Shule na udom ndizo sifa? Fedha zilizotumika si za kodi tumekamuliwa huku kodi ikipita njia hisiyo sahihi, huyu awe rais? I will go beyond that. I will go to the visionary leader, i will go for true leader, i will go for a reformer and honest leader for this nation.