Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Je wanasifa za kupampana na ufisadi ? Wana orodhesha mali na za familia zao za karibu zao hadharani ? wanalipa kodi ipasavyo? Ni wapi walipofanya kazi walionyesha ufanisi mkubwa na ulikua upi ?
 
Lowasa anafaa saaqana lakini lazima kwanza asafishwe na maji ya betri yale makali.
 
'Asiye weza kulipa nauli ya pantoni, apige mbizi'
 
'kila kitu mimi waziri mkuu, kilakitu waziri mkuu, mimi nadhani kilichobaki ni kuachia ngazi'
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

niambie kwanza kwanini Lowasa alijiuzuru!
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

its according 2u & who are u?
 
Kasi ya Magufuli kujipemdekeza kwa JK inatisha, nahisi hata akiambiwa kuosha viatu vya Ridhiwani atakubali...

Kaniacha hoi alivyosema eti barabara ya Babati Singida ni matunda ya bakuri analotembeza JK kuzunguka dunia, eti AONGEZE safari zaidi tupate barabara zaidi. Akili ya maiti tu inaweza kutoa mawazo kama hayo, how comes mtu kama huyo awe presidaa
 
Hamtendi haki msipomtaja john samwel malecela apewe nafasi ni mda mrefu anahitaji hy nafasi kwa kuzingatia umri uwezo na uzoefu wake hakuna mwenye sifa hizo kati ya wote hao.
 
Hata mi nafaa kuwa raisi wa nchi!
Nia, sababu na vigezo ninavyo!
Urais si wa kila mtu na vile vil si wa watu fulani!



Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom