NEnda kkoo Kwa wauza mapazia, week 2 tu unagonga lugha shingshong km zote.Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha.
Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
Kkoo ni Kariakoo?NEnda kkoo Kwa wauza mapazia, week 2 tu unagonga lugha shingshong km zote.
Wenyewe wanaimba hadi kwaya na bongo fleva na kupima uzito.
Enda kozi kkoo connection ipo
Ndo asafiri aache uvivu,.Kkoo ni Kariakoo?
Arusha kuna Kariakoo kumbe?
Hivi kumbe ni chakorii?Hivi kumbe sina hela ya kula na sijui!Haya sawa mkuu tuko pamoja