Ni wapi Dar naweza pata huduma ya massage nzuri?

Wanauza nini vipodozi au after sheve?

Wanavaa vinguo vya kubana, chini ni vi skin tight na vibody suit vitovu nje, as if wanakuuliza hautaki huduma nyingine yoyote?.Hata touch yao, wanajaribu kuelekea maoneo maoneo, ili kukupima unataka huduma yoyote zaidi ya massage.

Siku moja nilimwambia wife anipitie alipowaona tuu walivyovaa, ndio ukawa mwisho wangu kuruhusiwa kwenda landa nijiibe!.
 
Kuna nyingine karibu na hospitali ya moyo kinondoni.hii ni ma pro na hakuna mambo ya kubembelezwa biashara nyingine.bei ni kama elfu 40 hivi
 
Embu acheni kuendeshwa na huu utandawazi massage ya nn? Hyo pesa si'bora ukawape yatima na wajane. Hebu fkiria mbna wazee wett zamani hzo waliishi miaka mingi bila hayo mambo ya massage
 
  1. Ile ya Kindondoni opposite Muslim Sec. bomba sana, ina vifaa vya kisasa, na ina wadada very professional tatizo lake ni bei, nadhani full body plus scrub plus manicure na padicure ni 60,000. Massage peke yake ni 20,000, na ukiamua ya specific area tuu, kama mgongo, miguu, mikono, kichwa na mabega ni 10,000 each, duration ya full body na kila kitu to two hours, full body massage peke yake ni 1 hour, na spefic area ni 30 min.
  2. Ile ya BM Saloon, bei yao ni 20,000 tuu na kuna dada mmoja Mkenya, ama mikono with power of massage, tatizo lao, iko sloon, watu ni wengi sana, na massage room yao sio self contained.
  3. Ile ya Mbezi Beach, ni full house, iko very very private, nayo bei yake ni 20,000 per hour, ila mhudumu mmoja tuu ambaye she is really good na very professional, viko pale visichana vingine 4, hizo dressing zao kwenye massage na massage zao, unaweza kudhani wanataka kukuibia, kwa kifupi ni kama wezi fulani wakikumassage, pia wanataka biashara nyingine.
  4. Wale wachina pale Girraffe, wao ndio fully professiona wakitumia chinese technics za Shiantu 'touch of life', wao wana mpaka sauna na unaoga kwenye jacuzzi, bei yao ni 100,000 per hour.
siku moja nitenda ya wachina....... I like it, nimekumbuka sauna wakati nikiwa nje ya nchi.....aiseee ni raha sana
 
sisi wenzenu kwa maisha haya leo tule nini HIZI MASSAGE ZA 20,000 etc NI ANASA
 
Sorry wakuu, kama kuna memba anajua wapi naweza pata hii huduma mwanza anijuze
 
Kiukweli kabisa mi natafuta yenye yale mambo yetu yale.....nipe details please
 
safi sana wana JF maana hii topic imetendewa haki kwa kupatiwa information zake 100% nadhani hata asiyejua wapi kwa kwenda anaweza kuwa mwalimu sasa wa kuelekeza watu , mie naenda kwa 20,000/= pananitosha tuuu
 
Samahani jamani, msinicheke maana haya mambo ya masaji ni mageni kabisa kwangu. Hii mnayoita full body ndo wanagusa hadi sehemu zetu za biolojia? Navua nguo ZOOTE? I mean ZOTE?
 
muulize uporoto atakuambia
 
Wakuu JF,

naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata huduma ya massage nikiwa Dar. Naomba iwe ni sehemu safi yenye hadhi, siyo uchochoroni.

safi ndugu,me nakushauri kwa hadhi yako ungeenda kilimanjaro kempiski pale kuna massage parlour nzuri sana unafanya kuchagua ya thailand,singapore,philipino nk,,ila hautajutia dolla zako..
 
We Joice mbona huna huruma massage ya laki unamshauri mtu aende na kuna za elfu 25 nzuri tu.
 
  1. Ile ya Kindondoni opposite Muslim Sec. bomba sana, ina vifaa vya kisasa, na ina wadada very professional tatizo lake ni bei, nadhani full body plus scrub plus manicure na padicure ni 60,000. Massage peke yake ni 20,000, na ukiamua ya specific area tuu, kama mgongo, miguu, mikono, kichwa na mabega ni 10,000 each, duration ya full body na kila kitu to two hours, full body massage peke yake ni 1 hour, na spefic area ni 30 min.
  2. Ile ya BM Saloon, bei yao ni 20,000 tuu na kuna dada mmoja Mkenya, ama mikono with power of massage, tatizo lao, iko sloon, watu ni wengi sana, na massage room yao sio self contained.
  3. Ile ya Mbezi Beach, ni full house, iko very very private, nayo bei yake ni 20,000 per hour, ila mhudumu mmoja tuu ambaye she is really good na very professional, viko pale visichana vingine 4, hizo dressing zao kwenye massage na massage zao, unaweza kudhani wanataka kukuibia, kwa kifupi ni kama wezi fulani wakikumassage, pia wanataka biashara nyingine.
  4. Wale wachina pale Girraffe, wao ndio fully professiona wakitumia chinese technics za Shiantu 'touch of life', wao wana mpaka sauna na unaoga kwenye jacuzzi, bei yao ni 100,000 per hour.

Mkuu, naomba kujua hiyo ya Mbezi Beach iko sehemu gani tafadhali.
 
Back
Top Bottom