Ni wapi Dar naweza pata huduma ya massage nzuri?

Jamani AD we na Shossi mnaharibu hii thread ambayo ni muhimu-massage ni tiba na nusu ya posts ni zenu na hazihusu massage.
ooohh dear mbona mie na we tunachakachuaga
nyingi tu na muhimu dear..
au hii ni special kuliko zote
hahahahaha lol

we bado hujallala tu dear??
 
hahahahahah lol
haya bwana lakini hapo si ghali sana dear??
au umejaa??
hahahha lol
Hapana ni elfu 25 tu vyumba vya kawaida na kuna vyumba vina jacuzzi/sauna elfu 50,mimi hizo za 25 zinatosha kuna binti wa kitanga nimeipenda massage yake anammalizia mzungu namsubiri.hapa ni 24/7.
 
unavituko sana dear..
mmmhh huyo binti wa kitanga mmmhhh
itabidi niongee na klorokwin kuhusu huyo..
hahahhahahah lol

sasa si uchukue hiyo ya elfu 5o ili baada ya massage
uagize wine na uri lax kidogo au wasemaje ??
 
Si unajuwa leo friday kuna club hopping/laga siwezi kuzimalizia hapa.
 
hahahaha lol
naona leo hunialiki ..
mmhh hay abwana..
kajirushe mwenyewe ngoja mie nimeze klorokwin ni pumzike haahahhaha lol
 
Jamani! Sina mbavu mwenzenu... You make my day.
 
hahahahahah lol
unavituko sana dear..
mmmhh huyo binti wa kitanga mmmhhh
itabidi niongee na klorokwin kuhusu huyo..
hahahhahahah lol

sasa si uchukue hiyo ya elfu 5o ili baada ya massage
uagize wine na uri lax kidogo au wasemaje ??
massage za uswahilini mara unaambukizwa marazi ya ngozi, mimi faifu star bana. hizo muachie uporoto.
 
Mkuu jaribu hapo Pentagon utakuja kuniambia directions nimezitoa mwanzo wa thread tena umuulizie jasmin.
 
nimeiona mkuu, nalog out mazee leo niko muda finyu kichizi yaani. endelea na AD . morrow
 
massage za uswahilini mara unaambukizwa marazi ya ngozi, mimi faifu star bana. hizo muachie uporoto.

hahahahah lol
unavituko wewe.
mmhh nilidhani na we uko huko na Uporoto dear..
au we umesha jiingiza uwanja wa simba
tayari ku banjuka tu hahaah lol
 
Mkuu nenda pale Ferry upande wetu KIGAMBONI baada ya kuvuka tu kuna saloon mpya hiyo ni balaaa wananyoa hadi kwa MKWERE na inafanyia heavy massage nadhani hutajutia huduma yao, nimekuwa members pale for sometimes na nikawa adicted...wanajua waht they are doing...
 
hiyo ni kali
 
HTML:
Ile ya Mbezi Beach, ni full house, iko very very private, nayo bei yake ni 20,000 per hour, ila mhudumu mmoja tuu ambaye she is really good na very professional, viko pale visichana vingine 4, hizo dressing zao kwenye massage na massage zao, unaweza kudhani wanataka kukuibia, kwa kifupi ni kama wezi fulani wakikumassage, pia wanataka biashara nyingine

Pasco wikiendi hii nimeenda hapo naona wamepandisha bei imekua 25,000/=ila sio pabaya.Asante kwa taarifa.
 
akellei, mara ya mwisho kwenda pale ni last December, hivyo its possible wamepandisha bei. Kama mahitaji yako ya massage sio full body, baada ya round about White Sands kuelekea Bagamoyo Rd. kuna mtoto wa Chiledi amefungua ki- pub na saloon, hapo ndani kuna kabinti kako very good kwenye half body massage nadhani unakalipa 5,000/= tu!
 
Bongo tambarare hiyo 5000/= ni kama $ 3
 
Back
Top Bottom