Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,154
Kama ulisoma hiki kitabu shule ya msingi wewe ni mhenga mdogo si muda mrefu utakuwa mhenga kamili.
Aliita kwa sauti “nihurumie nihurumi, ninaumia ninaumia “
Jina lake ni PaziPumbafu zake yeye mbona hakuwa na hurumia alivyokua anawabeba wale kuku kichwa chini miguu juu.
Umekosea mkuuJina lake ni Pazi
Umekosea mkuu
Jina lake anaitwa Omar Albashiri, kipindi kile alikua anawabeba kuku kichwa chini miguu juu, sasa hivi ni zamu yake yeye kubebwa eti anajidai ahurumiwe.
Nimekisoma shule ya msingi na sikaribii hata 25 yrs nshaitwa mhenga mdogo duuh!!View attachment 1078345
Kama ulisoma hiki kitabu shule ya msingi wewe ni mhenga mdogo si muda mrefu utakuwa mhenga kamili.
Aliita kwa sauti “nihurumie nihurumi, ninaumia ninaumia “
Ninasikia uchaguzi wake kila mwaka alitangazwa mshindi kwa kunyonga.Umekosea mkuu
Jina lake anaitwa Omar Albashiri, kipindi kile alikua anawabeba kuku kichwa chini miguu juu, sasa hivi ni zamu yake yeye kubebwa eti anajidai ahurumiwe.
Hapana alikua hanyongi ila anawaning'iniza kichwa chini miguu juu.Ninasikia uchaguzi wake kila mwaka alitangazwa mshindi kwa kunyonga.
Uncle Rob kule Zimbabwe sikuhizi ana support upinzani, amegundua makosa kwenye serikali aliyoiongoza kwa miaka 30+Hapana alikua hanyongi ila anawaning'iniza kichwa chini miguu juu.
Uncle Rob kule Zimbabwe simuhizi ana support upinzani
dollars zakeUmekosea mkuu