Ni wangapi wanakumbuka jina la huyu dogo?

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
1,017
2,154
1078345


Kama ulisoma hiki kitabu shule ya msingi wewe ni mhenga mdogo si muda mrefu utakuwa mhenga kamili.
Aliita kwa sauti “nihurumie nihurumi, ninaumia ninaumia “
 
Umekosea mkuu
Jina lake anaitwa Omar Albashiri, kipindi kile alikua anawabeba kuku kichwa chini miguu juu, sasa hivi ni zamu yake yeye kubebwa eti anajidai ahurumiwe.
Ninasikia uchaguzi wake kila mwaka alitangazwa mshindi kwa kunyonga.
 
Kibanga ampiga mkoroni....hiki nimekikuta hm walikisoma wakubwa zangu ila hii hadithi nikikuwa naipenda sana
 
Jamani Elimu ya kibongo bwana ndo maana mtu anamaliza chuo analialia kuajiliwa. Sasa vitabu tulivyosoma vya adithi zisizokuwa na mashiko za kusadikika tungefundisha vitu halisia vyenye maalifa ya ufugaji, kilimo, technolojia, ufundi, n.k angalau ukimaliza darasa LA saba, form 4, form 6, vyuo, mtu ungekuwa na kitu kichwani cha kukusaidia badala ya kulandalanda kutafuta kazi au kudanga na mengine kama hayo!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom