Jina la Israel na maana yake

ward41

JF-Expert Member
Apr 3, 2022
397
1,394
Duniani kila jina lina maana. Hakuna jina lisilokuwa maana. Hata wewe jina lako lina maana yake, baya au Zuri

Kwa mfano, Adam maana yake ni udongo mwekundu
Hawa maana yake ni mama wa wanadamu wote
Malaika maana yake ni mjumbe wa Mungu.
Isaac maana yake ni kicheko.

Hata wewe jina lako lina maana yake

Kwa mifano michache hiyo, tunaweza pia kuona jina Israel

Jina Israel maana yake ni "mshindi" Yaani yeye ashindaye.
Majina ya watu au vitu ni kivuli cha uhalisia wa mtu au kitu

Sasa wa Israel kama taifa, wamelipa jina hilo taifa Lao. Hilo jina ni kivuli cha uhalisia wa hilo taifa. Jina hilo linatoa taswira ya uwezo wa hilo taifa.

Ukiangalia kwa juujuu aubkiushabiki unaweza usielewe hiki kitu lakini kama unaingia ndani kabisa unaweza kuelewa.

Kwanini taifa dogo kama Israel lina uwezo wa kushawishi mataifa
Makubwa kama India, USA, UK, Germany, Australia, Canada, France na wote wakaitikia. Jamaa wana kitu cha ziada. Jamaa wana uwezo wa ziada. Sio rahisi kama tunavyofikiri

Israel ni washindi. Waarabu wamegunduwa hilo Jambo ndiyo maana siku hizi hawahangaiki
 
Jina la Israel ni jina la nabii YAKUB Baba take YUSUF yeye ndio alieza watoto 12 na jina hilo alipewa na ALLAH (swt) na wale watoto wake ndio wanaitwa Wana wa Israel baada ya kuishi misri myaka mingi ndipo MUSSA alikuja kuwarudisha falestina .ndio sikatai upo Sahihi mkuu Israeil mana yake ni ushindi ,Ila hawa wanaojiita WA Israeil WA sasa sio WA Israeil ni WA zauun .ki uhalisisia hawa ni wazungu walio na asili ya europ ni wa pagan hawana dini walikuwa WA kiabudu masanamu na mashetani kiufupi ni washirikina walio pindukia hawana ustaraabu hata kidogo Ila Wana uchuu WA madaraka na Hao ndio wanao ipoteza dunia ya Leo Ila Kwa kivuli cha dini .na haya nayo kwambia wamejipanga kisawa Sawa wao wanamsubir masihi dajal a.k.a. antichrist na ukijaribu kufatilia history ya alama za Siku za mwisho ni kwamba dajal atakuja lakini atakuta anawafwasi wengi wanao mfanyia KAZI .sio tu waarabu wenye wako wanapatwa na haya maswahibu mazito ila hii itafika kwa ulimwengu wote.hapa nachotaka kusema tuache ushabiki wa kijinga tuuangalie mambo kwa jicho la 3 .nadhani wewe ni shahidi na mambo yanayo endelea ndani ya kanisa kuu duniani roman catholic na sasa wameweza kupandikiza hata saudi Arabia leo hii mwana wa mfalme abachokifanya ndani ya ardhi takatifu saudi penye kitofu cha dini ya kislam ni aibu sana haijawahi kutokea ila kwa sasa ni aibu sana ndugu zangu .kiufupi hawa jama tunaona kama ni super power ila wana ajenda kubwa sana na haya mambo unayona SAsa sio bahati mbaya Bali watu walikaa wakapanga ulikuwa Siri n'a SAsa mambo yapo hadharani ,back in the days kuna documantary moja hivi nili bahatika kuangalia ulikuwa na masaah kama 5 ila jama alikuwa anaongea vitu mpaka niliogopa JAMA anasema nguvu ya hawa majama hakuna anaeweza kuwaziwia ila mungu peke yake aise .kwa SAsa hakuna Alie kuwa Salama tuogope Siku ambayo ukweli utazungumzwa hadharani n'a Siku ya ardhi itatowa ushahidi hakuna atakae ishi milele sote tutakufa ba kwa mola wetu sote tutarejea .
 
Haya maelezo ni marefu sana; supporting evidence ni muhimu.
 
Wacha kuwadangan'ya watu eti Shujaa 😄

Israel ni Yakub bin Ishaq bin Ibrahim, amani iwe juu yao, na maana yake ni mja wa Mungu, kwa sababu “Isr” katika lugha yao maana yake ni mja, na “El” ni Mungu.

Ana majina mawili, :Israel ni jina la utani yani si orignal na lilivuma sana kwa sababu alikuwa Mchamungu na hata Mwenyezi alikuwa analirefer hilo jina.

Wanakuja wakristo na ujinga eti mshindi alimshinda nani? Ukiwasikia wakristo watakupoteza eti alipigana na Mungu 😄 Afu akamshinda akamshika mpa asubuhi afu ndio Mungu akampa jina Israel, eti sababu alimshinda 😄 bibilia zenu noma kweli.

Yakoub[Israel] kumuona Mungu hajamuona na wala hata kuja muona, si Yeye si Yesu si Mussa si Ibrahim wala Mtume Muhammad hakuna wakumuona Mungu, Mwenyezi Mungu ni level ingine kabisa yeye anakuona lakini hakuna binadamu atakaye muona maishani kwake.

Nyie kaimbeni nyimbo kanisani afu mkalale ngojeni mkisha kufa ndio mtajua Yesu kama atawaokoeni 😄
 
Haya yote uliyoandika umeyatoa wapi?
 
Nami nakazia Black transplant toa uthibitisho wa ulichoandika
Israel ni jina alilopewa yakobo baada ya kumtia ngwala,mabanzi,makwenzi Mungu,aliposhuka usiku wa manane duniani,ndipo Mungu akaamua kumbariki yakobo badala ya Esau chaguo lake la mwanzo,maana bila hivyo yakobo aliigoma kumuachia Mungu na palikua panapambazuka,Mungu akiogopa binaadam wasimuone,haya ni kwa mujibu wa biblia
 
Thibitisha biblia ni wapi imeandika haya "baada ya kumtia ngwala,mabanzi,makwenzi Mungu"
 
Jina la Israel ni jina la nabii YAKUB Baba take YUSUF yeye ndio alieza watoto 12 na jina hilo alipewa na ALLAH (swt) na wale watoto wake ndio wanaitwa Wana wa Israel baada ya kuishi misri myaka mingi ndipo MUSSA alikuja kuwarudisha falestina .ndio sikatai upo Sahihi mkuu Israeil mana yake ni ushindi ,Ila hawa wanaojiita WA Israeil WA sasa sio WA Israeil ni WA zauun .ki uhalisisia hawa ni wazungu walio na asili ya europ ni wa pagan hawana dini walikuwa WA kiabudu masanamu na mashetani kiufupi ni washirikina walio pindukia hawana ustaraabu hata kidogo Ila Wana uchuu WA madaraka na Hao ndio wanao ipoteza dunia ya Leo Ila Kwa kivuli cha dini .na haya nayo kwambia wamejipanga kisawa Sawa wao wanamsubir masihi dajal a.k.a. antichrist na ukijaribu kufatilia history ya alama za Siku za mwisho ni kwamba dajal atakuja lakini atakuta anawafwasi wengi wanao mfanyia KAZI .sio tu waarabu wenye wako wanapatwa na haya maswahibu mazito ila hii itafika kwa ulimwengu wote.hapa nachotaka kusema tuache ushabiki wa kijinga tuuangalie mambo kwa jicho la 3 .nadhani wewe ni shahidi na mambo yanayo endelea ndani ya kanisa kuu duniani roman catholic na sasa wameweza kupandikiza hata saudi Arabia leo hii mwana wa mfalme abachokifanya ndani ya ardhi takatifu saudi penye kitofu cha dini ya kislam ni aibu sana haijawahi kutokea ila kwa sasa ni aibu sana ndugu zangu .kiufupi hawa jama tunaona kama ni super power ila wana ajenda kubwa sana na haya mambo unayona SAsa sio bahati mbaya Bali watu walikaa wakapanga ulikuwa Siri n'a SAsa mambo yapo hadharani ,back in the days kuna documantary moja hivi nili bahatika kuangalia ulikuwa na masaah kama 5 ila jama alikuwa anaongea vitu mpaka niliogopa JAMA anasema nguvu ya hawa majama hakuna anaeweza kuwaziwia ila mungu peke yake aise .kwa SAsa hakuna Alie kuwa Salama tuogope Siku ambayo ukweli utazungumzwa hadharani n'a Siku ya ardhi itatowa ushahidi hakuna atakae ishi milele sote tutakufa ba kwa mola wetu sote tutarejea .
Bro punguza makasiriko kaka. Hao ni wale wale shida yenu ni kuwaona hao wazungu tu.
 
Waisrael halisi wako wapi?
 
Umekimbia swali?
Swali lipi nimelikimbia? Nilio yandika yako kwenye elimu za dini zote mbili ya Kislam, na Kiyahudi, pia ukristo we tatizo umerukia uwongo wa Paulo hata bibilia zenu zinakubaliaana na mimi pia unafahamu sa zinginee bibilia inasahau uwongo inaleta ukweli.

one who prevails with God
Because Jacob was faithful, the Lord gave him the special name of Israel, which means “one who prevails with God” or “let God prevail” (Bible Dictionary, “Israel,” 708).

Jina lake haswa ni Yakobo na Israel ni Special name, unaweza ukawa na jina na jina la utani au jina unaitwa kwa sababu flani umeona au bado dogo?
 
Back
Top Bottom