Ushapata Dildo? Hizo ndio zinawapa kiburiKama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole.
Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni.
Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue siku yako ya hedhi lakini kuna baadhi yetu mnawaambia et kisa mpenzi nitamwambie alie nioa tu lakini sio hawa wa muda mfupi.
Ni hilo tu.
Acha umalaya singo mama utasababisha wenzako waachike kwenye ndoaKama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole.
Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni.
Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue siku yako ya hedhi lakini kuna baadhi yetu mnawaambia et kisa mpenzi nitamwambie alie nioa tu lakini sio hawa wa muda mfupi.
Ni hilo tu.
Mimi sio kwamba siombi naomba tena sana tu ila sionyeshi utegemezi kwake
Tayari hukoKama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole.
Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni.
Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue siku yako ya hedhi lakini kuna baadhi yetu mnawaambia et kisa mpenzi nitamwambie alie nioa tu lakini sio hawa wa muda mfupi.
Ni hilo tu.
Usimfundishe ujinga
Kuomba omba ni upuuzi taftueni wanaume muolewa mnazichosha Sehemu zenu za mikojo
Bora wewe umejisemea ukweli.Ushauri mzuri ila hela ya mwanaume tamu bhana. Yaani hata kama umemzidi kipato bado akikupa yake ni tamu sana yaani. Tutafute hela ila kuhudumiwa raha jamani.
geeza wewe kuachaAcha umalaya singo mama utasababisha wenzako waachike kwenye ndoa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Poa haina nomaSi
jawai mtafuta mwanaume
Mkuu upo mpaka huku😎When a Man pays his bills it's normal.
But when a woman pays her bills,
She is a strong woman, super woman, independent lady, fighter , Queen of the jungle, Boss lady ,Hustler, self love,
Yani sifa zote Kedekede ni zake [emoji23][emoji23]
Na baada ya hapo "Feminism" huanza.
mkuu, ushauri wake ni mzuri kwa wanawake. Sema tu jinsi alivyouwasilisha ni kama kuna ujeuri flani. Na wanawake wengi walioamua kujitafutia (na wakafanikiwa) wale ninawafahamu, hata kama ndoa ilikuwa salama lakini alipopata tu, NDOA ILIGEUKA NDOANO.Mwanamke kama huyu ndo uoe aisee kazi unayo, halafu mwanamke anaejiheshimu huwezi kuta anapayuka hivi, wa hivi ni hawa makurubambe ya mjini
Bwana wee nashangaa mie huyu mrembo vipiMda mwingine period ina maudhi , inaleta genye sana . Kwani ukimwambia ubebike shs ngapi ? Lol mzabzab .
Kwa kweli mweeee kuhudumiwa Kuna raha sanaUshauri mzuri ila hela ya mwanaume tamu bhana. Yaani hata kama umemzidi kipato bado akikupa yake ni tamu sana yaani. Tutafute hela ila kuhudumiwa raha jamani.
Ewaah muhimu sana hiyo kitu .Bwana wee nashangaa mie huyu mrembo vipi
[emoji16][emoji16]Ushauri mzuri ila hela ya mwanaume tamu bhana. Yaani hata kama umemzidi kipato bado akikupa yake ni tamu sana yaani. Tutafute hela ila kuhudumiwa raha jamani.