FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,211
Kwani hapa tunaongea lugha mbili?Siku siyo nyingi naona kabisa tutaongea lugha moja mama
Tunalitazama Hiki tatizo kwa mkono tofauti.
Mzungu halali kabisa kuhusu life yenu anachojali ni maslahi yake na maslahi yake yameguswa.
Usifikiri mzungu anawajali sana wasenge wenu au anajali sana mnapouana. Hivyo ni muhtasari tu, habari kamili ni vita ya kiuchumi.
Vita ya uchumi hupiganwa kidiplomasia na Magu si mwana diplomasia, diplomasia yupo zero.
Nakumbuka enzi za Nyerere na Tiny Rowlands (Lonrho), alisema hatazami nyuma atageuka jiwe (baada ya kumtaifisha Tiny). Kimbembe kilichofatia, mwenyewe ilibidi atazame nyuma kimya kimya na kurudisha mali za Tiny. Lakini it was too late. Jamaa hawakutuachia mpaka alivyong'atuka. Usiombee.
Ushauri wangu ni Magu apige U turn au ang' atuke. Hatuna uwezo wa vita ya kiuchumi. Tumekanyaga mawaya.