Huu ubishi wenu ndo unaligharimu taifa.Ufipa mnabadili gia angani ... haya hamieni huko kwa wanadiplomasia
Isaya 1:15...Mungu huwa asikilizi sala za wanaomwaga damu, so Mkuu usijisumbue Kumuombea, tuziombee familia zetu na vizazi vijavyo vya taifa hili changa.Misukosuko aliyoipata Mwalimu juu ya haya Mabepari naiona inamrudia pia Dr. lakini namuombea kwa Mungu aishinde.
Amen!Isaya 1:15...Mungu huwa asikilizi sala za wanaomwaga damu, so Mkuu usijisumbue Kumuombea, tuziombee familia zetu na vizazi vijavyo vya taifa hili changa.
Huu ubishi wenu ndo unaligharimu taifa.
Endelea tu kuimba Iyena Iyena, ila kama wewe ni mwanaume na unawatoto huwezi kufurahia yanayoendelea maana sisi tutakufa watoto wetu ndo watazimbabweka.
Akina BM wenyewe wanazungumza point wakiwa nje ya nchi ........... wakirudi, kimya!!kweli kuna mwenye uthubutu wa kutoa neno la kuanzisha mjadala iwe ndani ya chama au serikalini ? Uoga na ubinafsi
Tahamaki tunaumia sote.
wapi polepoleYaani pole pole taifa linapata maajabu ya kihistoria yaani wajukuu na vitukuu vitasoma kwenye historia ya Tanzania................ safari hii mbaya kabisa imeanza mwaka 2015................ hakika Tutakoma........Tunaona kama mzaha lakini ndio hivyo
t
Damu ya Chacha Wangwe au?Isaya 1:15...Mungu huwa asikilizi sala za wanaomwaga damu, so Mkuu usijisumbue Kumuombea, tuziombee familia zetu na vizazi vijavyo vya taifa hili changa.
Aiseee !!!Hapo ulipoanzia sipo.
Tulipiga kelele Mzee afuate katiba mlisema acha anyooshe nchi. Tulipiga kelele kuhusu kuporwa haki za kidemokrasia mlisema aachwe atekeleze ilani. Tulipiga kelele kuhusu ubaguzi na manyanyaso kwa wapinzani mlisema huyu sio JK. tulipiga kelele watu kupotezwa na kuuwawa kinyemela mlinyamaza kimyaa mkidhani ni ya wapinzani tu.
Leo nchi inaanza kuonja machungu ya matendo yenu tunashauri DIPLOMASIA ITUMIKE unaanza kuleta uchuro wa kijani hapa.
akajakulazimishwa kujiuzulu na hao waliomzunguka na mitutu leo
Ina maana hawakuwepo Top Diplomat wetu wakamshauri ....
Jiwe anatupeleka kuwa Zimbabwe ya Mugabe. Ukishasusiwa na EU/USA kushirikiana!Endeleeni kumwambia sisi hatupangiwi. Mjazeni upepo sana, subirini Ban zianze. Subirini zije kauli za list ya watu waliotolewa Arrest warrant ya Kimataifa ndio mtaamini kuwa hawa watu wanaweza fitina.
Cmnt yako iwafikie Hawa wafia ChamaMagufuli anafahamu tatizo na juzi ametangaza vita. Vita ya kiuchumi.
Mimi namshauri kuwa vita ya kiuchumi hatuiwezi kabisa, tutaaangamia kama tulivyoangamia wakati wa Nyerere.
Ghaddafi ambae alikuwa na nchi yenye kipato kizuri alipoanza vita ya uchumi ikamuondoa. Hali kadhalika Mugabe na kabla yake Mengistu.
Vita ya kiuchumi inahitaji ipiganwe kidiplomasia "kula uliwe".
Sio lazima kufanya hivyo, anao uwezo jk ya kutekeleza yoyote atakayo elekezwa na rais kwa mujibu wa katiba, kwa kweli urais sio mchezo, tunachukulia tu kama mzaha, mke mmoja humuwezi utaweza urais?Mimi ningekuwa ndo Jiwe ningemuomba JK nimteue ubunge kisha nimfanye awe waziri wa mambo ya nje tushirikiane tujenge nchi. Hilo linawezekana na katiba haijazuia Raisi mstaafu kuwa mbunge au kuwa waziri, imezuia kuwa raisi tena tu!
Mbona akina Netanyahu , Ehud Barak na wengineo wamewahi kuwa wakuu wa serikali kisha wakawa mawaziri wa kawaida kabisa katika awamu nyingine?
Tujifunze kutumia resources zetu zote