Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,253
- 44,591
- Thread starter
- #161
Yatakiwa iwe kama CIA haiingiliwi na mtu
Nani kakuambia CIA haiingiliwi na mtu? hadi wenyewe wanakamatana!
Yatakiwa iwe kama CIA haiingiliwi na mtu
tulikwambia siku nyingi kuwa utachoka kumtetea bwana yule,ona unavyopata tabu kuongea,unafikiri tiss wa kibongo wanafanya mambo bila directions from up above!
Tatizo ni hawa kina DAB , Bunge limtoe yule mtu/ au lishinikize yeyeto anaesabaisha haya yatokee..kama ni DAB au Mkulu watokeee tuuu..
Tiss isafishwe! Na iache kuingiza siasa kwenye idara hii..
kuchunguza ni jambo sahihi kuliko kuvunja!Kuna namna nyingi za kushughulikia yanayoendelea nchini sasa hivi na hasa madai makali dhidi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mengi tumeshazungumza juu ya Idara hii na kwa muda mrefu. Bahati mbaya inaonekana hata wabunge wetu hawajaona njia rahisi na ya haraka ya kusafisha idara hii. Tayari inaonekana wapo wabunge wengi kutoka pande zote mbili ambao wanakubaliana kuwa kuna tatizo fulani katika Idara. Sasa kwanini wabunge wasitumie umoja wao huu wa misimamo kufanya jambo lililo ndani ya uwezo wao?![]()
Wabunge ndio watunga sheria wa nchi hi (law makers). Rais hatungi sheria hata moja; yeye kwake ni kuzipitisha tu. Siyo tu wabunge wanatunga lakini pia wanaweza kufanya marekebisho sheria na Katiba!
Sasa kuna pendekezo la Zitto kuchunguza matukio mbalimbali ambayo yanadaiwa kutokea hivi karibuni na Idara kuhusishwa. Njia hii ya Kamati Teule inaweza kutangulia – kama alivyodokeza – mabadiliko yoyote ya idara. Kamati Teule inaweza kuwaita watendaji na wakuu wote wa idara za usalama na kuwahoji chini ya kiapo – mbele ya camera au nje ya camera – na kutaka kujua nini kinaendelea. Na kwa vile Kamati ina nguvu za kibunge na mahakama inaweza kumlazimisha yeyote kati yao kufika mbele ya kamati hiyo au kuagizwa kukamatwa na kufikishwa mbele ya kamati hiyo.
Hiyo inaweza kuwa ni njia sahihi ya kutaka kutafuta ukweli. Pamoja na kuwaita hawa wote inaweza kuwaita hata waathirika wa vitendo hivi. Bashe kwa mfano anaweza kuitwa mbele ya Kamati hiyo na kutoa ushahidi wa madai ya kuwa kuna “mawaziri” ambao wamempa taarifa kuwa yeye ni mlengwa wa kutekwa; Zitto mwenyewe vile vile n.k Lengo ni kutaka kujua ukweli zaidi ili watakapotaka kufanya mabadiliko wajue wapi pa kuanzia.
![]()
Mkurugenzi wa TISS Dkt. Modestus Kipilimba
Hata hivyo, hilo linahitaji kuungwa mkono sana na wabunge wa CCM. Njia ya pili ambayo binafsi naipenda zaidi kama njia ya haraka ni kwa wabunge wenye kuona tatizo hasa – Bashe, Ridhiwani, Zitto, na wengine wakutane pamoja na kuandaa mswaada wa pamoja (bipartisan bill) ya kuivunja Idara ya Usalama wa Taifa na kuiunda upya ikiwa imetengenezwa kukidhi mahitaji ya kiusalama ya taifa hili na ikisimamiwa moja kwa moja na Bunge. Mswada huu uletetwe hata kwa hati ya dharura ili kabla ya Bunge hili kuisha usomwe unavyohitajika na upitishwe na Bunge na hatimaye upelekwe kwa rais kwa kuudhinisha.
Nina uhakika Rais Magufuli ataridhia kwani atakuwa amesaidiwa kazi ambayo labda ingemchukua muda yeye mwenyew ekuifanya. Na kama hatoridhia na kutishia Veto Bunge linaweza kuipiku veto hiyo kwa kura nyingi na kumlazimisha aisaini na kama haitowezekana basi Bunge litavunjwa na watu watarudishwa kwenye uchaguzi mkuu mpya ambapo wananchi watapata nafasi ya kwenda kuchagua wabunge na Rais mwingine kulingana na ajenda watakazosimama nazo.
Lakini kulalamika tu wakati nyenzo wanazo ni kupoteza muda wa watu. Ni wakati wa kufanya wanachoamini ni sahihi kufanya na wana uwezo wa kukifanya. Lakini pia utakuwa ni wakati wa watu kuhesabiwa. Kwa sisi wengine ambao tumekuwa tukilalamikia idara hii kwa muda mrefu tunaona labda hii ni nafasi ya pekee ya kuileta Idara hii kwenye karne ya 21. Inapofikia watu tena wazito wanadai kuwa Idara inajihusisha au watumishi wake wanajihusisha na vitendo ovya kighaidi hakuna namna namna nyingine ya kufanya isipokuwa kuivunja idara hiyo na kuiunda upya toka chini. Mkitaka mawazo tupo wengine tunaweza kuwasaidia.
ukiivunja na wabeba siri wa TISS unawapeleka wapi?
........Kwa nini brother?
kwa taarifa yako FBI iko depatment ya justice huwezi linganisha na CIA.Unajua tofauti ya CIA,NSA,FBI n likes na police wa kawaida huko USA au ushabiki tu?TISS yetu ni sawa kua na muunganiko wa FBI na CIA maana kule wametenganisha wao operate local (fBi) and overseas (CIA) kitu ambacho ss hatujatenganisha...atleast FBI wanaweza mtia mbaroni CIA kutokana na level ya mafunzo kua zinafanana ila sio police wa kawaida...the same na hapa Tanzania,mafunzo yao na ht treatment zao no tofauti e.g mshahara,makazi nk kifupi they are special,wanachukuliwa vijana wenye vipaji jeshini na sehem nyingine ndo wanaenda TISS...police anaanzaje kumkamata TISS,labda jamaa aamue tu kua mpole ajisalimishe ila sio by force...
Ni sawa,lakini kwa sasa bado hatujafikia kiwango cha kuvunja TISS yetu.Ni juzi tu ilitusaidia kumtupa nje ya ulingo Lowassa na mafisadi wenzie,hebu fikiria,bila ya TISS kuzuia mifumo ya kuiba kura kielektroniki aliojitengenezea Lowassa na Mercenaries wake kutoka Israel,leo Lowassa angekuwa RaisLabda historia imekupiga chenga; tulishavunja Jeshi, tukaliunda upya. Vyombo ambavyo havikuvunjwa na vilipaswa kuvunjwa ni pamoja na Polisi, TISS na Magereza.
kwa taarifa yako FBI iko depatment ya justice huwezi linganisha na CIA.Unajua tofauti ya CIA,NSA,FBI n likes na police wa kawaida huko USA au ushabiki tu?TISS yetu ni sawa kua na muunganiko wa FBI na CIA maana kule wametenganisha wao operate local (fBi) and overseas (CIA) kitu ambacho ss hatujatenganisha...atleast FBI wanaweza mtia mbaroni CIA kutokana na level ya mafunzo kua zinafanana ila sio police wa kawaida...the same na hapa Tanzania,mafunzo yao na ht treatment zao no tofauti e.g mshahara,makazi nk kifupi they are special,wanachukuliwa vijana wenye vipaji jeshini na sehem nyingine ndo wanaenda TISS...police anaanzaje kumkamata TISS,labda jamaa aamue tu kua mpole ajisalimishe ila sio by force...
kwa taarifa yako FBI iko depatment ya justice huwezi linganisha na CIA.Unajua tofauti ya CIA,NSA,FBI n likes na police wa kawaida huko USA au ushabiki tu?TISS yetu ni sawa kua na muunganiko wa FBI na CIA maana kule wametenganisha wao operate local (fBi) and overseas (CIA) kitu ambacho ss hatujatenganisha...atleast FBI wanaweza mtia mbaroni CIA kutokana na level ya mafunzo kua zinafanana ila sio police wa kawaida...the same na hapa Tanzania,mafunzo yao na ht treatment zao no tofauti e.g mshahara,makazi nk kifupi they are special,wanachukuliwa vijana wenye vipaji jeshini na sehem nyingine ndo wanaenda TISS...police anaanzaje kumkamata TISS,labda jamaa aamue tu kua mpole ajisalimishe ila sio by force...
Kuvunja TISS ? SIUNGI mkono hoja...
Ila kuifanya TISS isiwe chini ya ofisi ya Raisi, yaani iwe independent entity... Hapo naunga mkono hoja....
Si unakula na kukaa muda wote JF ukichat salama ndo maana unabwabwaja tu!!Sijaona umuhimu wa Tiss mpaka sasa hivi zaidi ya kulinda watawala na Chama Cha Mabwepande.Tiss ya sasa inajali matumbo yao kuliko Utaifa.Wimbo w Roma unaihatarishaje Taifa kama si uongo??Tiss wanamlinda Mkuu wa Mkoa sijawahi kusikia wala ukiona nimeona Awamu hii.
Ni bora ivunjwe tu haina maana yeyote.
.....Tumepewa ubongo kutafuta masuluhisho; hatupaswi kuogopa matatizo kwa sababu tukiyatatua tutakuwa na maswali mengine. Ni jukumu letu kutafuta majibu tunapotatua matatizo. Ndio maana ya kuwa binadamu.
Unaunda TISS nyingine na watendaji wasio zero kama waliopo, kuteka watu ndy suruhisho tumekuwa rwanda?Ukivunja tiss then?
Acha kuota mchana!! Kabla hujaivunja wewe ndo utakuwa umevunjwa!! Kwanza utawajua?? Kabla hata hujachaguliwa watakuwa wamekujua mawazo yako!Kweli kabisa, binafsi ningepewa nafasi ya kuwaongoza Watanzania kuna mambo ya kwanza kuyafanya; moja ni hili la kuivunjilia mbali hii taasisi na kuunda taasisi zitakazoakisi kweli malengo na nia za taifa.
Sidhani kama tatizo ni TISS na pia sidhani kama kuivunja ni tatizo.Tatizo la nchi hii kwa sasa ni Bashite na Mkulu.Uhusiano wao uliotukuka ndio umeinajisi taasisi hii nyeti!Kuna namna nyingi za kushughulikia yanayoendelea nchini sasa hivi na hasa madai makali dhidi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mengi tumeshazungumza juu ya Idara hii na kwa muda mrefu. Bahati mbaya inaonekana hata wabunge wetu hawajaona njia rahisi na ya haraka ya kusafisha idara hii. Tayari inaonekana wapo wabunge wengi kutoka pande zote mbili ambao wanakubaliana kuwa kuna tatizo fulani katika Idara. Sasa kwanini wabunge wasitumie umoja wao huu wa misimamo kufanya jambo lililo ndani ya uwezo wao?![]()
Wabunge ndio watunga sheria wa nchi hi (law makers). Rais hatungi sheria hata moja; yeye kwake ni kuzipitisha tu. Siyo tu wabunge wanatunga lakini pia wanaweza kufanya marekebisho sheria na Katiba!
Sasa kuna pendekezo la Zitto kuchunguza matukio mbalimbali ambayo yanadaiwa kutokea hivi karibuni na Idara kuhusishwa. Njia hii ya Kamati Teule inaweza kutangulia – kama alivyodokeza – mabadiliko yoyote ya idara. Kamati Teule inaweza kuwaita watendaji na wakuu wote wa idara za usalama na kuwahoji chini ya kiapo – mbele ya camera au nje ya camera – na kutaka kujua nini kinaendelea. Na kwa vile Kamati ina nguvu za kibunge na mahakama inaweza kumlazimisha yeyote kati yao kufika mbele ya kamati hiyo au kuagizwa kukamatwa na kufikishwa mbele ya kamati hiyo.
Hiyo inaweza kuwa ni njia sahihi ya kutaka kutafuta ukweli. Pamoja na kuwaita hawa wote inaweza kuwaita hata waathirika wa vitendo hivi. Bashe kwa mfano anaweza kuitwa mbele ya Kamati hiyo na kutoa ushahidi wa madai ya kuwa kuna “mawaziri” ambao wamempa taarifa kuwa yeye ni mlengwa wa kutekwa; Zitto mwenyewe vile vile n.k Lengo ni kutaka kujua ukweli zaidi ili watakapotaka kufanya mabadiliko wajue wapi pa kuanzia.
![]()
Mkurugenzi wa TISS Dkt. Modestus Kipilimba
Hata hivyo, hilo linahitaji kuungwa mkono sana na wabunge wa CCM. Njia ya pili ambayo binafsi naipenda zaidi kama njia ya haraka ni kwa wabunge wenye kuona tatizo hasa – Bashe, Ridhiwani, Zitto, na wengine wakutane pamoja na kuandaa mswaada wa pamoja (bipartisan bill) ya kuivunja Idara ya Usalama wa Taifa na kuiunda upya ikiwa imetengenezwa kukidhi mahitaji ya kiusalama ya taifa hili na ikisimamiwa moja kwa moja na Bunge. Mswada huu uletetwe hata kwa hati ya dharura ili kabla ya Bunge hili kuisha usomwe unavyohitajika na upitishwe na Bunge na hatimaye upelekwe kwa rais kwa kuudhinisha.
Nina uhakika Rais Magufuli ataridhia kwani atakuwa amesaidiwa kazi ambayo labda ingemchukua muda yeye mwenyew ekuifanya. Na kama hatoridhia na kutishia Veto Bunge linaweza kuipiku veto hiyo kwa kura nyingi na kumlazimisha aisaini na kama haitowezekana basi Bunge litavunjwa na watu watarudishwa kwenye uchaguzi mkuu mpya ambapo wananchi watapata nafasi ya kwenda kuchagua wabunge na Rais mwingine kulingana na ajenda watakazosimama nazo.
Lakini kulalamika tu wakati nyenzo wanazo ni kupoteza muda wa watu. Ni wakati wa kufanya wanachoamini ni sahihi kufanya na wana uwezo wa kukifanya. Lakini pia utakuwa ni wakati wa watu kuhesabiwa. Kwa sisi wengine ambao tumekuwa tukilalamikia idara hii kwa muda mrefu tunaona labda hii ni nafasi ya pekee ya kuileta Idara hii kwenye karne ya 21. Inapofikia watu tena wazito wanadai kuwa Idara inajihusisha au watumishi wake wanajihusisha na vitendo ovya kighaidi hakuna namna namna nyingine ya kufanya isipokuwa kuivunja idara hiyo na kuiunda upya toka chini. Mkitaka mawazo tupo wengine tunaweza kuwasaidia.
Pia kwa kuongeza tu kuwepo na baraza la usalama la Taifa ambalo litasimamia idara hii au kushauriKuna namna nyingi za kushughulikia yanayoendelea nchini sasa hivi na hasa madai makali dhidi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mengi tumeshazungumza juu ya Idara hii na kwa muda mrefu. Bahati mbaya inaonekana hata wabunge wetu hawajaona njia rahisi na ya haraka ya kusafisha idara hii. Tayari inaonekana wapo wabunge wengi kutoka pande zote mbili ambao wanakubaliana kuwa kuna tatizo fulani katika Idara. Sasa kwanini wabunge wasitumie umoja wao huu wa misimamo kufanya jambo lililo ndani ya uwezo wao?![]()