sikubaliani na wewe ndiyo maana hakuna mabadiliko kwa hii nchi sababu ya watu kama ninyi. Mzee Mwanakijiji anaishi katika nchi yenye kufuata sheria ambako huwezi kuona mkuu wa wilaya ati anaruhusiwa kumweka mtu ndani masaa 48, ni Tanzania peke yake na kama tukiwa na watu wengi wenye mawazo kama yako hii sheria tutawaachia mpaka wajukuu wetu.Watanzania tufanye kazi. Tumezoa kuzusha mijadala kila kitu kinageuka kuw siasa. Hawa wanasiasa uchwara wanaturudisha nyuma. Bado nchi yetu ina fursa nyingi tuchangamkie fursa ili kujiletea maendeleo katika ngazi ya zote. Tuachwe kuendeshwa na wanasiasa uchwara kila Siku wanabadili mada baada ya kuona mirija Yao ya ulaji imekatwa sasa wanahaha kuichonganisha serikali na wananchi kwa mbinu za siri Na wazi. Tumeshawagundua
kwani anaeteua mabosi wa nsa, fbi, cia na dni kwa mfano, ni nani? na wana report kwa nani? tupunguzage ujuaji mara moja moja jamaniYatakiwa iwe kama CIA haiingiliwi na mtu
UVUNJIKE WEWE KWANZA THEN NDIO TISS IVUNJWE: YOTE ULIYOANDIKA NI NDOTO (Una Haki ya Kuota) NA HAKUNA KITAKACHOFANYIKA. NADHANI HUJAISOMA VIZURI SHERIA YA TISS NA UKAIELEWA - HATA IKIWA NI KWENYE BUNGE AU KAMATI YA BUNGE, MTENDAJI AU KIONGOZI WA TISS ANA UWEZO KISHERIA KUKATAA KUHOJIWA JUU YA JAMBO LOLOTE LINALOHUSU SHUGHULI ZA USALAMA WA TAIFA (Soma Vifungu vya 16, 17, na 20 vya Sheria ya TISS). Nalazimika kusema kwamba ninatilia shaka uzalendo wako hata kufikia kutamani taasisi nyeti ya usalama ivuliwe nguo na kubaki uchi mbele ya Bunge (Unataka Maadui wa Tanzania Washangilie??) na nadhani huna uelewa mzuri wa shughuli za kiusalama. Kumbuka Kwamba TISS imetuhumiwa na Wabunge wakitumia uhuru wao na kinga ndani ya Bunge dhidi ya watu au taasisi ambayo haimo bungeni. Usisahau kwamba Idara za Usalama duniani huwa hazina desturi ya kujibu tuhuma au kupokea sifa. Kazi hiyo ni ya lawama nyingi kuliko sifa maana inawezekana TISS ina mazuri mengi sanaaaaaa ila kwa kuwa hayajulikani ndio maana mnakua wepesi kushutumu. Hivi Unaposema TISS ivunjwe kutokana na uwepo wa tuhuma za wanasiasa ambazo hazijathibitishwa, ni nani atafaidika na uamuzi huu kama sio maadui wa Tanzania??? Andiko lako halina hata chembe ya Uzalendo na Limejaa UHAINI DHIDI YA TANZANIA. Hivi Umeshafanya Uchambuzi na Je Unazo Taarifa za Ndani za Kukuwezesha Kupima Mazuri ya TISS na capability yake kiutendaji Ii uweze kufikia hitimisho kwamba Idara hiyo Inafaa Kuvunjwa??? Nadhani Andiko Lako ni Matusi Kwa Amani ya Tanzania na Unawavunja Moyo Vijana Wazalendo Ambao Hukesha Usiku na Mchana na Kuhatarisha Maisha Kuhakikisha Tanzania ina AMANI na Inabaki Salama. Unaposikia Nchi Jirani (Zinajulikana) Kila Siku Zinalipuliwa na AL-SHABAAB, Je Unadhani Hawana Idara ya Usalama? Je Walipolipuliwa, Idara Hizo Zilivunjwa??? Uliwai Kusikia Tanzania Imeshambuliwa na Magaidi Kama Hizo Nchi Jirani? Na Je Unadhani Magaidi Hawafiki Tanzania na Ku OPERATE?? Inawezekana Wanafika Ila Wanashindwa Kutimiza Mashambulizi kwa Kuwa Wanazuiwa (Hili Mimi na Wewe Hatujui). Ndugu Yangu Ukiona Vinaelea Vimeundwa - AMANI UNAYOIONA UJUE KWAMBA NYUMA YA PAZIA KUNA WATU WAKO KAZINI: WAPE MOYO NA KUWATIA NGUVU.Kuna namna nyingi za kushughulikia yanayoendelea nchini sasa hivi na hasa madai makali dhidi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mengi tumeshazungumza juu ya Idara hii na kwa muda mrefu. Bahati mbaya inaonekana hata wabunge wetu hawajaona njia rahisi na ya haraka ya kusafisha idara hii. Tayari inaonekana wapo wabunge wengi kutoka pande zote mbili ambao wanakubaliana kuwa kuna tatizo fulani katika Idara. Sasa kwanini wabunge wasitumie umoja wao huu wa misimamo kufanya jambo lililo ndani ya uwezo wao?![]()
Wabunge ndio watunga sheria wa nchi hi (law makers). Rais hatungi sheria hata moja; yeye kwake ni kuzipitisha tu. Siyo tu wabunge wanatunga lakini pia wanaweza kufanya marekebisho sheria na Katiba!
Sasa kuna pendekezo la Zitto kuchunguza matukio mbalimbali ambayo yanadaiwa kutokea hivi karibuni na Idara kuhusishwa. Njia hii ya Kamati Teule inaweza kutangulia – kama alivyodokeza – mabadiliko yoyote ya idara. Kamati Teule inaweza kuwaita watendaji na wakuu wote wa idara za usalama na kuwahoji chini ya kiapo – mbele ya camera au nje ya camera – na kutaka kujua nini kinaendelea. Na kwa vile Kamati ina nguvu za kibunge na mahakama inaweza kumlazimisha yeyote kati yao kufika mbele ya kamati hiyo au kuagizwa kukamatwa na kufikishwa mbele ya kamati hiyo.
Hiyo inaweza kuwa ni njia sahihi ya kutaka kutafuta ukweli. Pamoja na kuwaita hawa wote inaweza kuwaita hata waathirika wa vitendo hivi. Bashe kwa mfano anaweza kuitwa mbele ya Kamati hiyo na kutoa ushahidi wa madai ya kuwa kuna “mawaziri” ambao wamempa taarifa kuwa yeye ni mlengwa wa kutekwa; Zitto mwenyewe vile vile n.k Lengo ni kutaka kujua ukweli zaidi ili watakapotaka kufanya mabadiliko wajue wapi pa kuanzia.
![]()
Mkurugenzi wa TISS Dkt. Modestus Kipilimba
Hata hivyo, hilo linahitaji kuungwa mkono sana na wabunge wa CCM. Njia ya pili ambayo binafsi naipenda zaidi kama njia ya haraka ni kwa wabunge wenye kuona tatizo hasa – Bashe, Ridhiwani, Zitto, na wengine wakutane pamoja na kuandaa mswaada wa pamoja (bipartisan bill) ya kuivunja Idara ya Usalama wa Taifa na kuiunda upya ikiwa imetengenezwa kukidhi mahitaji ya kiusalama ya taifa hili na ikisimamiwa moja kwa moja na Bunge. Mswada huu uletetwe hata kwa hati ya dharura ili kabla ya Bunge hili kuisha usomwe unavyohitajika na upitishwe na Bunge na hatimaye upelekwe kwa rais kwa kuudhinisha.
Nina uhakika Rais Magufuli ataridhia kwani atakuwa amesaidiwa kazi ambayo labda ingemchukua muda yeye mwenyew ekuifanya. Na kama hatoridhia na kutishia Veto Bunge linaweza kuipiku veto hiyo kwa kura nyingi na kumlazimisha aisaini na kama haitowezekana basi Bunge litavunjwa na watu watarudishwa kwenye uchaguzi mkuu mpya ambapo wananchi watapata nafasi ya kwenda kuchagua wabunge na Rais mwingine kulingana na ajenda watakazosimama nazo.
Lakini kulalamika tu wakati nyenzo wanazo ni kupoteza muda wa watu. Ni wakati wa kufanya wanachoamini ni sahihi kufanya na wana uwezo wa kukifanya. Lakini pia utakuwa ni wakati wa watu kuhesabiwa. Kwa sisi wengine ambao tumekuwa tukilalamikia idara hii kwa muda mrefu tunaona labda hii ni nafasi ya pekee ya kuileta Idara hii kwenye karne ya 21. Inapofikia watu tena wazito wanadai kuwa Idara inajihusisha au watumishi wake wanajihusisha na vitendo ovya kighaidi hakuna namna namna nyingine ya kufanya isipokuwa kuivunja idara hiyo na kuiunda upya toka chini. Mkitaka mawazo tupo wengine tunaweza kuwasaidia.
KWA KUSOMA KWA KIREFU BONYEZA ZAMAMPYA.COM
UFUTILIWE MBALI WEWE KWANZA THEN NDIO TISS IVUNJWE: YOTE ULIYOANDIKA NI NDOTO (Una Haki ya Kuota) NA HAKUNA KITAKACHOFANYIKA. NADHANI HUJAISOMA VIZURI SHERIA YA TISS NA UKAIELEWA - HATA IKIWA NI KWENYE BUNGE AU KAMATI YA BUNGE, MTENDAJI AU KIONGOZI WA TISS ANA UWEZO KISHERIA KUKATAA KUHOJIWA JUU YA JAMBO LOLOTE LINALOHUSU SHUGHULI ZA USALAMA WA TAIFA (Soma Vifungu vya 16, 17, na 20 vya Sheria ya TISS). Nalazimika kusema kwamba ninatilia shaka uzalendo wako hata kufikia kutamani taasisi nyeti ya usalama ivuliwe nguo na kubaki uchi mbele ya Bunge (Unataka Maadui wa Tanzania Washangilie??) na nadhani huna uelewa mzuri wa shughuli za kiusalama. Kumbuka Kwamba TISS imetuhumiwa na Wabunge wakitumia uhuru wao na kinga ndani ya Bunge dhidi ya watu au taasisi ambayo haimo bungeni. Usisahau kwamba Idara za Usalama duniani huwa hazina desturi ya kujibu tuhuma au kupokea sifa. Kazi hiyo ni ya lawama nyingi kuliko sifa maana inawezekana TISS ina mazuri mengi sanaaaaaa ila kwa kuwa hayajulikani ndio maana mnakua wepesi kushutumu. Hivi Unaposema TISS ivunjwe kutokana na uwepo wa tuhuma za wanasiasa ambazo hazijathibitishwa, ni nani atafaidika na uamuzi huu kama sio maadui wa Tanzania??? Andiko lako halina hata chembe ya Uzalendo na Limejaa UHAINI DHIDI YA TANZANIA. Hivi Umeshafanya Uchambuzi na Je Unazo Taarifa za Ndani za Kukuwezesha Kupima Mazuri ya TISS na capability yake kiutendaji Ii uweze kufikia hitimisho kwamba Idara hiyo Inafaa Kuvunjwa??? Nadhani Andiko Lako ni Matusi Kwa Amani ya Tanzania na Unawavunja Moyo Vijana Wazalendo Ambao Hukesha Usiku na Mchana na Kuhatarisha Maisha Kuhakikisha Tanzania ina AMANI na Inabaki Salama. Unaposikia Nchi Jirani (Zinajulikana) Kila Siku Zinalipuliwa na AL-SHABAAB, Je Unadhani Hawana Idara ya Usalama? Je Walipolipuliwa, Idara Hizo Zilivunjwa??? Uliwai Kusikia Tanzania Imeshambuliwa na Magaidi Kama Hizo Nchi Jirani? Na Je Unadhani Magaidi Hawafiki Tanzania na Ku OPERATE?? Inawezekana Wanafika Ila Wanashindwa Kutimiza Mashambulizi kwa Kuwa Wanazuiwa (Hili Mimi na Wewe Hatujui). Ndugu Yangu Ukiona Vinaelea Vimeundwa - AMANI UNAYOIONA UJUE KWAMBA NYUMA YA PAZIA KUNA WATU WAKO KAZINI: WAPE MOYO NA KUWATIA NGUVU.TISS ilikuwa muhimu wakati wa vita ya ukombozi Kusini mwa Africa na wakati wa vita baridi vya dunia yaani USSR na nchi za magharibi!
Kwa sasa ni bora ifutiliwe mbali kwani ni mzigo usiobebeka!
UVUNJIKE WEWE KWANZA THEN NDIO TISS IVUNJWE: YOTE ULIYOANDIKA NI NDOTO (Una Haki ya Kuota) NA HAKUNA KITAKACHOFANYIKA. NADHANI HUJAISOMA VIZURI SHERIA YA TISS NA UKAIELEWA - HATA IKIWA NI KWENYE BUNGE AU KAMATI YA BUNGE, MTENDAJI AU KIONGOZI WA TISS ANA UWEZO KISHERIA KUKATAA KUHOJIWA JUU YA JAMBO LOLOTE LINALOHUSU SHUGHULI ZA USALAMA WA TAIFA (Soma Vifungu vya 16, 17, na 20 vya Sheria ya TISS). Nalazimika kusema kwamba ninatilia shaka uzalendo wako hata kufikia kutamani taasisi nyeti ya usalama ivuliwe nguo na kubaki uchi mbele ya Bunge (Unataka Maadui wa Tanzania Washangilie??) na nadhani huna uelewa mzuri wa shughuli za kiusalama. Kumbuka Kwamba TISS imetuhumiwa na Wabunge wakitumia uhuru wao na kinga ndani ya Bunge dhidi ya watu au taasisi ambayo haimo bungeni. Usisahau kwamba Idara za Usalama duniani huwa hazina desturi ya kujibu tuhuma au kupokea sifa. Kazi hiyo ni ya lawama nyingi kuliko sifa maana inawezekana TISS ina mazuri mengi sanaaaaaa ila kwa kuwa hayajulikani ndio maana mnakua wepesi kushutumu. Hivi Unaposema TISS ivunjwe kutokana na uwepo wa tuhuma za wanasiasa ambazo hazijathibitishwa, ni nani atafaidika na uamuzi huu kama sio maadui wa Tanzania??? Andiko lako halina hata chembe ya Uzalendo na Limejaa UHAINI DHIDI YA TANZANIA. Hivi Umeshafanya Uchambuzi na Je Unazo Taarifa za Ndani za Kukuwezesha Kupima Mazuri ya TISS na capability yake kiutendaji Ii uweze kufikia hitimisho kwamba Idara hiyo Inafaa Kuvunjwa??? Nadhani Andiko Lako ni Matusi Kwa Amani ya Tanzania na Unawavunja Moyo Vijana Wazalendo Ambao Hukesha Usiku na Mchana na Kuhatarisha Maisha Kuhakikisha Tanzania ina AMANI na Inabaki Salama. Unaposikia Nchi Jirani (Zinajulikana) Kila Siku Zinalipuliwa na AL-SHABAAB, Je Unadhani Hawana Idara ya Usalama? Je Walipolipuliwa, Idara Hizo Zilivunjwa??? Uliwai Kusikia Tanzania Imeshambuliwa na Magaidi Kama Hizo Nchi Jirani? Na Je Unadhani Magaidi Hawafiki Tanzania na Ku OPERATE?? Inawezekana Wanafika Ila Wanashindwa Kutimiza Mashambulizi kwa Kuwa Wanazuiwa (Hili Mimi na Wewe Hatujui). Ndugu Yangu Ukiona Vinaelea Vimeundwa - AMANI UNAYOIONA UJUE KWAMBA NYUMA YA PAZIA KUNA WATU WAKO KAZINI: WAPE MOYO NA KUWATIA NGUVU.
Mwisho, Zitto Kabwe na Baadhi ya Watu Wanasema Kwamba Idara ya Usalama wa Taifa Hairuhusiwi Kukamata au Kuhoji: Hawa Hawajazisoma Sheria za Tanzania za Mambo ya Usalama kwa Ujumla Wake, Bali Wameisoma Tu Sheria ya TISS ya Mwaka 1996 na Kuhitimisha Hoja yao Kwamba TISS haikamati wala ku enforce measures for security. Niwajulishe Kwamba Kwa Mujibu wa Sheria - They are damn wrong. TISS inaruhusiwa kukamata chini ya sheria zifuatazo (kwa uchache tu maana sheria ni nyingi).
1. Sheria ya Ugaidi, Sheria Namba 21 ya Mwaka 2002.
Section 28. (1) Any police officer may arrest without warrant any Person who has committed or is committing or whom he has reasonable grounds for suspecting to have committed or to be committing an offence under this Act.
(2) For the purposes of subsection (1), "police officer'' means and include a police officer of or above the rank of Assistant Superintendent, an immigration officer or a member of Tanzania Intelligence Security Service.
2. Sheria ya Makosa Mtandaoni ya Mwaka 2015 inaipa mamlaka TISS na vyombo vingine kuitekeleza sheria hiyo ikiwa ni pamoja na ukamataji, kuhoji, na kupekua. Watekelezaji wa Sheria Hiyo Wametambuliwa Katika Kifungu cha 3 ambacho husomeka:
Section 3 says: “law enforcement officer” means a police officer of the rank of Assistant Inspector or above or an investigator of equivalent rank of inspector and above, member of Tanzania Intelligence Service, prosecutor, or any authorized officer of the authority responsible for regulation of communication or any other person authorised in any written law.
Nihitimishe Kwa Kukueleza Kwamba Inawezekana Wewe Binafsi Huoni Umuhimu wa TISS, Ila TISS ipo kisheria na ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania zaidi ya million 50. Haiwezekani TISS Ivunjwe eti kwa kuwa imetuhumiwa na watu 3 ambao nachelea kuamini kwamba wakiambiwa wathibitishe tuhuma hizo HAWATAWEZA KUTOA USHAHIDI WA UHAKIKA WA KIMAHAKAMA (SIO WA KIMTAANI). Ni Mara Ngapi Vyombo Vingine Vya Dola Vimetuhumiwa Tena Kila Kukicha, Mbona Hukusema Vivunjwe??? Please, tusitamani anguko la TISS ambayo ni MOYO wa usalama wa Tanzania. Sisi Watanzania Wanyonge na Hasa wa Vijijini Tunaihitaji Sana TISS wakati huu pengine Kuliko Wakati Mwingine Wowote Maana Serikali ya Sasa Imeazimia Kutokomeza Ufisadi na Kuleta Haki na Usawa Katika Matumizi ya Rasilimali za Nchi.
UVUNJIKE WEWE KWANZA THEN NDIO TISS IVUNJWE: YOTE ULIYOANDIKA NI NDOTO (Una Haki ya Kuota) NA HAKUNA KITAKACHOFANYIKA. NADHANI HUJAISOMA VIZURI SHERIA YA TISS NA UKAIELEWA - HATA IKIWA NI KWENYE BUNGE AU KAMATI YA BUNGE, MTENDAJI AU KIONGOZI WA TISS ANA UWEZO KISHERIA KUKATAA KUHOJIWA JUU YA JAMBO LOLOTE LINALOHUSU SHUGHULI ZA USALAMA WA TAIFA (Soma Vifungu vya 16, 17, na 20 vya Sheria ya TISS). Nalazimika kusema kwamba ninatilia shaka uzalendo wako hata kufikia kutamani taasisi nyeti ya usalama ivuliwe nguo na kubaki uchi mbele ya Bunge (Unataka Maadui wa Tanzania Washangilie??) na nadhani huna uelewa mzuri wa shughuli za kiusalama. Kumbuka Kwamba TISS imetuhumiwa na Wabunge wakitumia uhuru wao na kinga ndani ya Bunge dhidi ya watu au taasisi ambayo haimo bungeni. Usisahau kwamba Idara za Usalama duniani huwa hazina desturi ya kujibu tuhuma au kupokea sifa. Kazi hiyo ni ya lawama nyingi kuliko sifa maana inawezekana TISS ina mazuri mengi sanaaaaaa ila kwa kuwa hayajulikani ndio maana mnakua wepesi kushutumu. Hivi Unaposema TISS ivunjwe kutokana na uwepo wa tuhuma za wanasiasa ambazo hazijathibitishwa, ni nani atafaidika na uamuzi huu kama sio maadui wa Tanzania??? Andiko lako halina hata chembe ya Uzalendo na Limejaa UHAINI DHIDI YA TANZANIA. Hivi Umeshafanya Uchambuzi na Je Unazo Taarifa za Ndani za Kukuwezesha Kupima Mazuri ya TISS na capability yake kiutendaji Ii uweze kufikia hitimisho kwamba Idara hiyo Inafaa Kuvunjwa??? Nadhani Andiko Lako ni Matusi Kwa Amani ya Tanzania na Unawavunja Moyo Vijana Wazalendo Ambao Hukesha Usiku na Mchana na Kuhatarisha Maisha Kuhakikisha Tanzania ina AMANI na Inabaki Salama. Unaposikia Nchi Jirani (Zinajulikana) Kila Siku Zinalipuliwa na AL-SHABAAB, Je Unadhani Hawana Idara ya Usalama? Je Walipolipuliwa, Idara Hizo Zilivunjwa??? Uliwai Kusikia Tanzania Imeshambuliwa na Magaidi Kama Hizo Nchi Jirani? Na Je Unadhani Magaidi Hawafiki Tanzania na Ku OPERATE?? Inawezekana Wanafika Ila Wanashindwa Kutimiza Mashambulizi kwa Kuwa Wanazuiwa (Hili Mimi na Wewe Hatujui). Ndugu Yangu Ukiona Vinaelea Vimeundwa - AMANI UNAYOIONA UJUE KWAMBA NYUMA YA PAZIA KUNA WATU WAKO KAZINI: WAPE MOYO NA KUWATIA NGUVU.Tiss lazima ivunjwe na Tiss mpya lazima ijitegemee sio kutegemea maagizo kutoka Ikulu.
Ni Kweli Kaka. Mapungufu Hurekebishwa na Sio Kuvunja TISS ambayo ni moyo wa usalama wa Tanzania. Hivi Kila Chombo Cha Dola Kikituhumiwa, Inapaswa Kivunjwe? Na Pia, Ni nani aliyethibitisha tuhuma hizo dhidi ya TISS?? HAKUNA USHAHIDI WA KIMAHAKAMA; NI MANENO YA KITAA TUHata kama TISS inamapungufu lakini kwa bado naweka uzalendo kwa kusema viva TISS
Ngoja ni googleWakikujibu uni tag boss