![]()
Mkurugenzi wa TISS Dkt. Modestus Kipilimba
Mbona marekani hawajaivunja CIA au rusia kuivunja FSB hata baada ya vita baridi?hoja hii haina mashiko...kifupi hakuna inchi duniani isiyokua na secret & intelligent service...periodTISS ilikuwa muhimu wakati wa vita ya ukombozi Kusini mwa Africa na wakati wa vita baridi vya dunia yaani USSR na nchi za magharibi!
umeshashiba maharage unabwabwaja tu.Kuna namna nyingi za kushughulikia yanayoendelea nchini sasa hivi na hasa madai makali dhidi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mengi tumeshazungumza juu ya Idara hii na kwa muda mrefu. Bahati mbaya inaonekana hata wabunge wetu hawajaona njia rahisi na ya haraka ya kusafisha idara hii. Tayari inaonekana wapo wabunge wengi kutoka pande zote mbili ambao wanakubaliana kuwa kuna tatizo fulani katika Idara. Sasa kwanini wabunge wasitumie umoja wao huu wa misimamo kufanya jambo lililo ndani ya uwezo wao?![]()
Wabunge ndio watunga sheria wa nchi hi (law makers). Rais hatungi sheria hata moja; yeye kwake ni kuzipitisha tu. Siyo tu wabunge wanatunga lakini pia wanaweza kufanya marekebisho sheria na Katiba!
Sasa kuna pendekezo la Zitto kuchunguza matukio mbalimbali ambayo yanadaiwa kutokea hivi karibuni na Idara kuhusishwa. Njia hii ya Kamati Teule inaweza kutangulia – kama alivyodokeza – mabadiliko yoyote ya idara. Kamati Teule inaweza kuwaita watendaji na wakuu wote wa idara za usalama na kuwahoji chini ya kiapo – mbele ya camera au nje ya camera – na kutaka kujua nini kinaendelea. Na kwa vile Kamati ina nguvu za kibunge na mahakama inaweza kumlazimisha yeyote kati yao kufika mbele ya kamati hiyo au kuagizwa kukamatwa na kufikishwa mbele ya kamati hiyo.
Hiyo inaweza kuwa ni njia sahihi ya kutaka kutafuta ukweli. Pamoja na kuwaita hawa wote inaweza kuwaita hata waathirika wa vitendo hivi. Bashe kwa mfano anaweza kuitwa mbele ya Kamati hiyo na kutoa ushahidi wa madai ya kuwa kuna “mawaziri” ambao wamempa taarifa kuwa yeye ni mlengwa wa kutekwa; Zitto mwenyewe vile vile n.k Lengo ni kutaka kujua ukweli zaidi ili watakapotaka kufanya mabadiliko wajue wapi pa kuanzia.
![]()
Mkurugenzi wa TISS Dkt. Modestus Kipilimba
Hata hivyo, hilo linahitaji kuungwa mkono sana na wabunge wa CCM. Njia ya pili ambayo binafsi naipenda zaidi kama njia ya haraka ni kwa wabunge wenye kuona tatizo hasa – Bashe, Ridhiwani, Zitto, na wengine wakutane pamoja na kuandaa mswaada wa pamoja (bipartisan bill) ya kuivunja Idara ya Usalama wa Taifa na kuiunda upya ikiwa imetengenezwa kukidhi mahitaji ya kiusalama ya taifa hili na ikisimamiwa moja kwa moja na Bunge. Mswada huu uletetwe hata kwa hati ya dharura ili kabla ya Bunge hili kuisha usomwe unavyohitajika na upitishwe na Bunge na hatimaye upelekwe kwa rais kwa kuudhinisha.
Nina uhakika Rais Magufuli ataridhia kwani atakuwa amesaidiwa kazi ambayo labda ingemchukua muda yeye mwenyew ekuifanya. Na kama hatoridhia na kutishia Veto Bunge linaweza kuipiku veto hiyo kwa kura nyingi na kumlazimisha aisaini na kama haitowezekana basi Bunge litavunjwa na watu watarudishwa kwenye uchaguzi mkuu mpya ambapo wananchi watapata nafasi ya kwenda kuchagua wabunge na Rais mwingine kulingana na ajenda watakazosimama nazo.
Lakini kulalamika tu wakati nyenzo wanazo ni kupoteza muda wa watu. Ni wakati wa kufanya wanachoamini ni sahihi kufanya na wana uwezo wa kukifanya. Lakini pia utakuwa ni wakati wa watu kuhesabiwa. Kwa sisi wengine ambao tumekuwa tukilalamikia idara hii kwa muda mrefu tunaona labda hii ni nafasi ya pekee ya kuileta Idara hii kwenye karne ya 21. Inapofikia watu tena wazito wanadai kuwa Idara inajihusisha au watumishi wake wanajihusisha na vitendo ovya kighaidi hakuna namna namna nyingine ya kufanya isipokuwa kuivunja idara hiyo na kuiunda upya toka chini. Mkitaka mawazo tupo wengine tunaweza kuwasaidia.
KWA KUSOMA KWA KIREFU BONYEZA ZAMAMPYA.COM
Wachache watakuelewa mkuu linaonekana kama jambo geni,wako wapi profesa mwakyusa au Dr mvungi? Mbona hizi kelele azikusikika?Mwisho tutaambiwa tulivunje jeshi.Rais ana vyombo vyake vya kumsaidia kutawala.Hawezi kuvunja TISS kisa tu wabunge wameona hivyo wakati RAIS hajaona tatizo lolote.
Matukio ya watu kuteswa na kuuwawa yametokea sana awamu ya nne na tatu.
Kujiteka kwa Roma hakuwezi kufanya TISS ivunjwe.
Wakati wa awamu ya nne kulikuwa na matukio yakutekwa na kujeruhiwa Ulimboka,kubenea alimwagiwa tindi kali n,k ambayo hatukumsikia Ridhiwani wala Bashe wanapiga kelele hatua zichukuliwe.
KuntuMkuu TISS sio kama bodi ya korosho kule lindi useme unaweza kuivunja tu anytime...utatengeneza tatizo zaidi ya hili....solution Bunge limuwajibishe sizonje na vibaraka wake tu
Mkuu uyu jamaa anafikiri kama kuvunja bodi ya bandari? Huu ni moyo wa nchi hamna siasa siasa.Hizo ndugu yangu ni ndoto za abunuasi za kutaka kuivunja idara nyeti kama hiyo. Kwanza kumbuka kila idara ile ina kanuni zake za kuiendesha. Pili bunge halina uwezo huo. Yaani idara ya usalama wa taifa haiendeshwi kisiasa kama chama. Na kumbukeni kuwa kunamafunzo maalumu ya usalama wa taifa. Hilo msahau mkiongea sana mtaishia kufa kqa bp za vitisho. Na kutekwa.
Eti ujaona umuhimu wa TISS? Endelea kuongea ukahisi upo salama na jina bandia.Sijaona umuhimu wa Tiss mpaka sasa hivi zaidi ya kulinda watawala na Chama Cha Mabwepande.Tiss ya sasa inajali matumbo yao kuliko Utaifa.Wimbo w Roma unaihatarishaje Taifa kama si uongo??Tiss wanamlinda Mkuu wa Mkoa sijawahi kusikia wala ukiona nimeona Awamu hii.
Ni bora ivunjwe tu haina maana yeyote.
Kwaiyo mkuu unataka kushindana na USA?KWA WANAOSEMA HILI SWALA HALIWEZEKANI NAOMBA WANIAMBIE KWANINI CIA NA WENGINE WAMEWEZA NA SISI TUSHINDWE..............................????
KAMA BUNGENI WATAACHA UCHAMA NA KUSSEMA KAULI MOJA LAZIMA WANYOOKE WAZEE ILA KAMA WATAWEKA U CCM NA UPINZANI MMMMMMMMMMMMMMMXXXXXXXXXIIIIIIIIIIIUUUUUUUUUUUUUUUUUU.......................TUTATEKWA SANA
Wewe bwana mdgo una hakiri kweli?Kuna namna nyingi za kushughulikia yanayoendelea nchini sasa hivi na hasa madai makali dhidi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mengi tumeshazungumza juu ya Idara hii na kwa muda mrefu. Bahati mbaya inaonekana hata wabunge wetu hawajaona njia rahisi na ya haraka ya kusafisha idara hii. Tayari inaonekana wapo wabunge wengi kutoka pande zote mbili ambao wanakubaliana kuwa kuna tatizo fulani katika Idara. Sasa kwanini wabunge wasitumie umoja wao huu wa misimamo kufanya jambo lililo ndani ya uwezo wao?![]()
Wabunge ndio watunga sheria wa nchi hi (law makers). Rais hatungi sheria hata moja; yeye kwake ni kuzipitisha tu. Siyo tu wabunge wanatunga lakini pia wanaweza kufanya marekebisho sheria na Katiba!
Sasa kuna pendekezo la Zitto kuchunguza matukio mbalimbali ambayo yanadaiwa kutokea hivi karibuni na Idara kuhusishwa. Njia hii ya Kamati Teule inaweza kutangulia – kama alivyodokeza – mabadiliko yoyote ya idara. Kamati Teule inaweza kuwaita watendaji na wakuu wote wa idara za usalama na kuwahoji chini ya kiapo – mbele ya camera au nje ya camera – na kutaka kujua nini kinaendelea. Na kwa vile Kamati ina nguvu za kibunge na mahakama inaweza kumlazimisha yeyote kati yao kufika mbele ya kamati hiyo au kuagizwa kukamatwa na kufikishwa mbele ya kamati hiyo.
Hiyo inaweza kuwa ni njia sahihi ya kutaka kutafuta ukweli. Pamoja na kuwaita hawa wote inaweza kuwaita hata waathirika wa vitendo hivi. Bashe kwa mfano anaweza kuitwa mbele ya Kamati hiyo na kutoa ushahidi wa madai ya kuwa kuna “mawaziri” ambao wamempa taarifa kuwa yeye ni mlengwa wa kutekwa; Zitto mwenyewe vile vile n.k Lengo ni kutaka kujua ukweli zaidi ili watakapotaka kufanya mabadiliko wajue wapi pa kuanzia.
![]()
Mkurugenzi wa TISS Dkt. Modestus Kipilimba
Hata hivyo, hilo linahitaji kuungwa mkono sana na wabunge wa CCM. Njia ya pili ambayo binafsi naipenda zaidi kama njia ya haraka ni kwa wabunge wenye kuona tatizo hasa – Bashe, Ridhiwani, Zitto, na wengine wakutane pamoja na kuandaa mswaada wa pamoja (bipartisan bill) ya kuivunja Idara ya Usalama wa Taifa na kuiunda upya ikiwa imetengenezwa kukidhi mahitaji ya kiusalama ya taifa hili na ikisimamiwa moja kwa moja na Bunge. Mswada huu uletetwe hata kwa hati ya dharura ili kabla ya Bunge hili kuisha usomwe unavyohitajika na upitishwe na Bunge na hatimaye upelekwe kwa rais kwa kuudhinisha.
Nina uhakika Rais Magufuli ataridhia kwani atakuwa amesaidiwa kazi ambayo labda ingemchukua muda yeye mwenyew ekuifanya. Na kama hatoridhia na kutishia Veto Bunge linaweza kuipiku veto hiyo kwa kura nyingi na kumlazimisha aisaini na kama haitowezekana basi Bunge litavunjwa na watu watarudishwa kwenye uchaguzi mkuu mpya ambapo wananchi watapata nafasi ya kwenda kuchagua wabunge na Rais mwingine kulingana na ajenda watakazosimama nazo.
Lakini kulalamika tu wakati nyenzo wanazo ni kupoteza muda wa watu. Ni wakati wa kufanya wanachoamini ni sahihi kufanya na wana uwezo wa kukifanya. Lakini pia utakuwa ni wakati wa watu kuhesabiwa. Kwa sisi wengine ambao tumekuwa tukilalamikia idara hii kwa muda mrefu tunaona labda hii ni nafasi ya pekee ya kuileta Idara hii kwenye karne ya 21. Inapofikia watu tena wazito wanadai kuwa Idara inajihusisha au watumishi wake wanajihusisha na vitendo ovya kighaidi hakuna namna namna nyingine ya kufanya isipokuwa kuivunja idara hiyo na kuiunda upya toka chini. Mkitaka mawazo tupo wengine tunaweza kuwasaidia.
KWA KUSOMA KWA KIREFU BONYEZA ZAMAMPYA.COM
Wengi wanajua hata wakifanya hayo wanayaita TISS ivunjwe wanajua mkurugenzi wake watawapigia kura na wananchi.kwani anaeteua mabosi wa nsa, fbi, cia na dni kwa mfano, ni nani? na wana report kwa nani? tupunguzage ujuaji mara moja moja jamani
Wewe bwana mdgo una hakiri kweli?
Na hilo haiwezekani na halipo mkuu kutenganishana TISS na rais au ikulu hata uko marekani mnapotelea mfano halipo hilo?Kuvunja TISS ? SIUNGI mkono hoja...
Ila kuifanya TISS isiwe chini ya ofisi ya Raisi, yaani iwe independent entity... Hapo naunga mkono hoja....