misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,863
- 14,705
Kweli kabisa mkuu ila tujifunze kuna vitu vingine tusijifanye wajuaji kwasababu tunatumia majina bandia.Idara ivunjwe ili iweje?
Na kwa sababu gani?
Kimamtiki kuna mambo makubwa na mazito yanayofanyika kila iitwapo Leo yanayosababisha hata hao wanaoituhumu idara hiyo kuwa salama.
Najiuliza ikivunjwa hao watu watakuwa salama?
Watu hawalali 24/7 kwa ajili ya kuwatumia watanzania.
Kutuhumu idara kwa sababu ya kundi maslahi ya kundi Fulani ni kukosa shukrani.
TISS ni moyo wa nchi,eti mtu kashiba wali na marahage anakuja na uzi TISS ivunjwe pumba tupu.