Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
Wengi wetu tumewahi kusikia mahanithi wa kiume yani wanaume ambao hawasimamishi ni aina ya wanaume ambao kamwe hawawezi chochote kitandani na ni tatizo ni ugonjwa ambao kwa baadhi unatibika lakini kwa wengine hakuna tiba kabisa
lakini kwa wanaume ulishawahi kukutana na hanisi-- wa kike,,.mimi nilishakutana naye dada mzuri kabisa mwenye kila sifa ya uzuri wa kike lakini meeting yetu ya kwanza ikawa ndio ya mwisho hakufeel chochote na alikuwa mwoga mithili ya mtu aendaye kunyongwa
sikuenjoy na yeye hakuenjoy chochote na akasema hajawhi kufeel chochote kwenye mapenzi kwa wakati ule sikujua ana tatizo gani lakini leo hii najiuliza je alikuwa ni ------- wa kike?