Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
hahah,dope cuz!
:tonguez:
hahah,dope cuz!
Tamthilia, my heart beats for lola
Hapo umenena kula tanoUmeshaliwa mkuu. Anakuzuga hana feelings ili usimzengee tena, hasa baada ya kujua we sio size yake au game lako halijamkolea. Angekuwa anajua hana hiyo makitu angekubalije kwenda kujivinjari na wewe?
BTW ulimpa shingapi???
hapana bana, ni season one ya siri ya mtungi!
MODS wasingekuwa wachoyo na kuondoa kitufe cha like, ningekugongea.......
Mkuu nilitumia 45 mnts kuweka mambo Sawa lakini wapi utafikiri nachemsha mawe
Mahanithi wa kike wapo ila kwa maumbile yao si rahisi kugundua! Wapo wanawake wa ukweli lakini unakuta kwenye k hakuna kitu yaani kuna tundu la kukojolea tu, niliwahi kuwashuhudia 2! Wengine wapo hawana hamu wala hisia na mapenzi lkn k inakuwa nayo!