Ni vipi?

Ni vipi?

Kama vipi karibu unless otherwise..........!!!!!.
 
Ukiingia ndani ndio utajua kwa nini tunajiita hivyo, hebu pita ndani!
 
nani anaejiita...................miuchango ya watu ndo inafanya waitwe hivo.
 
hapa naongea kwa sauti ya zege"wacha maneno yako wewe".karibu sana.mia
 
jaman samahan mbna hayo majna yenu yanantsha et chatudume,teller,buku,mikatabafeki. . . . bado sina raha duuuh!
 
kwanin najta chidu? duuh humu ndan mbna balaaa . . . . hili ni jina waungwana halina sabab kubwa sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom