St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
- Thread starter
-
- #81
Hahahaaa hajielewi huyo ndio maana hata sijamjibu..Nimecheka Sana ,halafu kuna jamaa mmoja hapo juu kakuambia kuwa umepigwa na dume,dem alitupa b,nes kadi kaokota dume,kakupanga ukaingia line,kaniacha hoi
Nishaambiwa nitume nauli nikagoma. Nikasema nikuagizie uber naye kagoma. Nikaona isiwe case nikatume nauli akapotea. So unacheka kisha unatulia.Duh,kweli nimezidiwa ujanja. Ila namsikitikia yeye aliyekosa vikubwa zaidi..
Ha Ha Hivi Lakini Ni Kipindi Hiki Cha Jpm,au Kile Cha Laki Si Pesa?Mnanichanganya MjueNishaambiwa nitume nauli nikagoma. Nikasema nikuagizie uber naye kagoma. Nikaona isiwe case nikatume nauli akapotea. So unacheka kisha unatulia.
Dah asante sana mkuu...Pole mkuu
Mi yamenikuta wiki mbili zilizopita....Ha Ha Hivi Lakini Ni Kipindi Hiki Cha Jpm,au Kile Cha Laki Si Pesa?Mnanichanganya Mjue
Mkuu wote mimi na yeye ni washamba,ila kwa ujanja yeye kanizidi maana yeye kagain japo si kwa kiwango nilichokuwa nikimkadiria.Amekimbia akiwa amepata vijisenti tu burungutu lenyewe kaliacha.Nimejichekea tuu..... ww ndo utaamua nani mshamba na nani mjanja.
Ulimkaushia au ulimalizia ulipoishia??mi kuna mmoja siku za nyuma niliomba kuonana naye mara akadai nimtumie 20 kuna vitu aweke sawa fasta nikamtumia nikampigia two times kapotezea wala hata sikuhangaika kumuulizia ama kumtext. Baada ya mwezi akaanza very sorry ilikuwa blablahaa nyingi.
Namsubiri mkuu shida haziishi atakuja tu...Mtembezee Huyo How Come Akugeuze Kiazi Mshkaji Wangu Na Block ukimaliza Tutadiscus Case Yangu
Nadhani nimekuelewa kuliko wote waliotangulia kuchangia..Kuna msemo wa Kiingereza kuwa, "If fools don't go to the market, bad wares wont be sold."
You were made a fool bro. Get the lesson na uache kumsikitikia.