mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,565
- 6,405
Ni muhimu watu waipateElimu elimu elimu
Ni muhimu watu waipateElimu elimu elimu
HahahahahaRais wa mafungu au?
Tusikariri muajiriwa tujifunze kujiajiri kama watu wa AsiaMkuu lakini 40 years kwa jamii zetu za kiafrika huoni kama utakuwa umechelewa mathalani unastaafu una miaka 60 mtoto bado ana miaka 20 huoni kama pension yako itatumika kumsomesha mtoto na kutunza familia badala ya kuifaidi uzeeni kwako
Mbona sisi mzee wetu watoto wake wa 4 wamisho kuzaa kawazaa akiwa na miaka 35, 9Wewe unajidanganya... sababu zinazolazimisha umri ufikiriwe ni uwezo wa kumtunza huku bado una nguvu za kufanya hivyo.. Ishu siyo kuzaa tu... UNLESS UWE TAJIRI AMBAYE UMEJIWEKEZA VYA KUTOSHA... Ebu waza hili
Hili la mtoto lishaanza kunitoa nje ya reli
Nina miaka 28 sasa na ni mtoto wa kwanza,tupo wa4,wa3 wa kiume mmoja wa mwisho ni wa kike
Juzi Tu hapa sikukuu ya pasaka rafiki yangu niliyesoma nae kuanzia la 1 Hadi form 4 kaenda home kijijini Kula sikukuu na familia yake
Niliwaza sn maana sioni dalili ya kuoa wala kuwa na familia maana akiki yangu ipo bize kukimbizana na ndoto
Yaani sioni dalili ya kumletea bi mkubwa mjukuu labda demu anitegeshee nimpe mimba
Unataka kusema nini? Au unataka tuelewe nini?Mbona sisi mzee wetu watoto wake wa 4 wamisho kuzaa kawazaa akiwa na miaka 35, 9
39, na sasaiv ni wakubwa na Wana watoto
Umejiandaa vipi katika makuzi yake na malezi pia sio unatoa kitu unampeleka kwa Bibi mtoto mlee mwenywe.Kuna madhara kuchelewa kupata mtoto
Kwanza unaweza ukafa ghafla huna hata copy
Binafsi Nina miaka 27 nataka mwakan majira km haya niwe na first born asee
Kweli....muhimu kuishi tu..maana kila mtu ana maswali yake ya nn kumpa mtu majibu yako?Maisha hayana formula.
We mjamaa utengenezewe sanamu la ukumbusho. Una hoja za kufikilika sanaWewe unawaza kustaafu tu, kwani kila mtu ameajiriwa hadi awaze kustaafu miaka 60?
Lakini pia kwani kustaafu ndio kufa? Kwamba ukistaafu huwezi kua na shughuli nyingine ya kukuingizia kipato na ukaendelea kusomesha ama kusaidia wanao?
Yaani wewe huoni maisha baada ya miaka 60?
Umejiandaa vipi katika makuzi yake na malezi pia sio unatoa kitu unampeleka kwa Bibi mtoto mlee mwenywe.
Mkuu kuoa/kuolewa ni lazima ila kupata mtoto ni mapenzi ya MunguMtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila kitu kwa maisha yako ya hapo baadae. Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza kukupata umri unaopochelewa kupata mtoto.
Hebu leo tujaribu kujuzana ni umri gani hautakiwi uwe umeuvuka bila ya kupata mtoto wako wa kwanza.
21-24
25-30
30-35
35-40
Ni upi umri sahihi?
Hahahahahah ni idea nzuri ila kwa wale walioko miongoni mwa raia 20,000 ambao wanawania kinyang’anyiro cha PCCCB ina maana ukihangaika na kazi hupati ina maana usizae?Maisha hayana formulae lakini ukimpata 21-24 baada ya first degree na ajira una uhakika wa kumtunza vizuri. Yaani uhakika wa kodi ya nyumba, mshahara wa dada, chakula, bima ya afya nk.