Ni umri gani hutakiwi kuvuka kabla ya kupata mtoto wa kwanza?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
260
1,000
Mtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila Kitu kwa maisha yako ya hapo badae.

Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza kukupata umri unaopochelewa kupata mtoto.

Hebu Leo tujaribu kujuzana ni umri gani hautakiwi uwe umeuvuka bila ya kupata mtoto wako wa kwanza.

21-24
25-30
30-35
35-40

Ni upi umri sahihi?
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,196
2,000
Acha kukariri maisha.

Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.

Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.

Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.

Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
 
mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,564

Furaha pekee ya mtu masikini hasa mweusi ni ngono ndo maana kuzaa kwao hakuishi ataanza akiwa na 25 hadi anafika 70 anazaa tu na hapo hakuna alieenda shule wote wako nyumbani akijifariji kila mtoto anakuja na bahati yake.

Wanaenda mbali zaidi na kusema ukizaa wengi unaweza kuzaa Rais wa nchi.
 
Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
260
1,000
Acha kukariri maisha.

Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.

Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.

Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.

Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Mkuu lakini 40 years kwa jamii zetu za kiafrika huoni kama utakuwa umechelewa mathalani unastaafu una miaka 60 mtoto bado ana miaka 20 huoni kama pension yako itatumika kumsomesha mtoto na kutunza familia badala ya kuifaidi uzeeni kwako
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
2,196
2,000
Mkuu lakini 40 years kwa jamii zetu za kiafrika huoni kama utakuwa umechelewa mathalani unastaafu una miaka 60 mtoto bado ana miaka 20 huoni kama pension yako itatumika kumsomesha mtoto na kutunza familia badala ya kuifaidi uzeeni kwako
Wewe unawaza kustaafu tu, kwani kila mtu ameajiriwa hadi awaze kustaafu miaka 60?

Lakini pia kwani kustaafu ndio kufa? Kwamba ukistaafu huwezi kua na shughuli nyingine ya kukuingizia kipato na ukaendelea kusomesha ama kusaidia wanao?

Yaani wewe huoni maisha baada ya miaka 60?
 
Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Aug 23, 2010
4,679
2,000
Mkuu lakini 40 years kwa jamii zetu za kiafrika huoni kama utakuwa umechelewa mathalani unastaafu una miaka 60 mtoto bado ana miaka 20 huoni kama pension yako itatumika kumsomesha mtoto na kutunza familia badala ya kuifaidi uzeeni kwako
Hao wote aliowaongelea ni wafanyabiashara si makapuku asikuumize kichwa.... Anatolea mfano wa Mengi wakati ukimuuliza kipato chake kwa afikii hata hela ya mafuta na vocha ya Marehemu Mengi kipindi hiko....

Umri sahii kwa sisi kajamba nani ni 25-35 uwe umepata mtoto.....
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,416
2,000
Acha kukariri maisha.

Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.

Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.

Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.

Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
John Snow amepata mtoto na miaka 73, lakini mtoto umpate ukiwa na miaka 54, ni lini utamuona anakua na kuanza shule hatimae uone wajukuu?

Kuna teenager years na early 20’s ambako chemical changes inasumbua sana vijana. Umri huu mzazi akiwa 40-50 anaweza kupambana navyo. Sasa uko 70 unaweza kuweka mkwara kwa kijana wa 18 anaevaa kata tako!
 
havanna

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
1,740
2,000
Acha kukariri maisha.

Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.

Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.

Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.

Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Boss, Mengi mbona alikuwa na watoto wengine tofauti na mapacha, Rodney

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
22,511
2,000
Acha kukariri maisha.

Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.

Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.

Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.

Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Wewe unajidanganya... sababu zinazolazimisha umri ufikiriwe ni uwezo wa kumtunza huku bado una nguvu za kufanya hivyo.. Ishu siyo kuzaa tu... UNLESS UWE TAJIRI AMBAYE UMEJIWEKEZA VYA KUTOSHA... Ebu waza hili

1. Kwa Tanzania, umezamzaa mtoto wa kwanza ukiwa na miaka 30. Anaanza la kwanza akiwa na miaka 6, na wewe una miaka 36. Anamaliza la saba, wewe una miaka 43. Anamaliza O-level wewe una miaka 47. Anamaliza A-level wewe una miaka 49 au 50 akipitia Technical college (eg Arusha Tech). Anamaliza Univercity wewe una miaka 53 hadi 55 kutegemeana na kozi.... NGUVU ZA KUTAFUTA FEDHA ZA KUMDUMIA ZIPO INVERSELY PROPORTIONAL NA AGE YAKO.... Tafakari hapo

2. Wakati umri wako upo hivyo, ukumbuke unaweza ukawa na watoto zaidi ya mmoja

3. Wakati umri wako unasepa hivyo, ukumbuke kuna mahitaji mengine ya kimaisha, tena yale basic bado yanakuhitaji wewe uyakamilishe....

TATIZO KUBWA SANA WENGI MNAIGA OUTCOME NA SIYO CHANZO.... Na kwenye umri hatuzungumzii uwezo wa mbegu kuzalisha au uwezo wa mayai ya mwanamke kupata mtoto, BALI UWEZO WA ANAYEPATA MTOTO KUMTUNZA MTOTO HUYO IPASAVYO

uNAJILINGANISHA NA HUYO MWENYE MIAKA 54 AU 70 AKAZAA, LAKINI HUJILINGANISHI NAYE KWENYE MAANDALIZI ALIYOYAFANYA KABLA YA KUZAA....
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
22,511
2,000
Maisha hayana formula.
FORMULA IPO MZEE... NA NDIYO MAANA WAKIOANA MASHOGA TUNAPINGA, NA NDIYO MAANA WENGINE WAKIOWANA NA WANYAMA TUNASHANGAA..!! Na Ukienda tofauti na formula utaitwa kichaa au majina mengine yanayofanana na hilo.... WHY? kuna formula

Au unadhani formula ni mpaka udiferenshieti? AU mpaka uone exponential functions? Au hadi uone sequence and serires?
 
Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
260
1,000
Wewe unajidanganya... sababu zinazolazimisha umri ufikiriwe ni uwezo wa kumtunza huku bado una nguvu za kufanya hivyo.. Ishu siyo kuzaa tu... UNLESS UWE TAJIRI AMBAYE UMEJIWEKEZA VYA KUTOSHA... Ebu waza hili

1. Kwa Tanzania, umezamzaa mtoto wa kwanza ukiwa na miaka 30. Anaanza la kwanza akiwa na miaka 6, na wewe una miaka 36. Anamaliza la saba, wewe una miaka 43. Anamaliza O-level wewe una miaka 47. Anamaliza A-level wewe una miaka 49 au 50 akipitia Technical college (eg Arusha Tech). Anamaliza Univercity wewe una miaka 53 hadi 55 kutegemeana na kozi.... NGUVU ZA KUTAFUTA FEDHA ZA KUMDUMIA ZIPO INVERSELY PROPORTIONAL NA AGE YAKO.... Tafakari hapo

2. Wakati umri wako upo hivyo, ukumbuke unaweza ukawa na watoto zaidi ya mmoja

3. Wakati umri wako unasepa hivyo, ukumbuke kuna mahitaji mengine ya kimaisha, tena yale basic bado yanakuhitaji wewe uyakamilishe....

TATIZO KUBWA SANA WENGI MNAIGA OUTCOME NA SIYO CHANZO.... Na kwenye umri hatuzungumzii uwezo wa mbegu kuzalisha au uwezo wa mayai ya mwanamke kupata mtoto, BALI UWEZO WA ANAYEPATA MTOTO KUMTUNZA MTOTO HUYO IPASAVYO

uNAJILINGANISHA NA HUYO MWENYE MIAKA 54 AU 70 AKAZAA, LAKINI HUJILINGANISHI NAYE KWENYE MAANDALIZI ALIYOYAFANYA KABLA YA KUZAA....
Point noted
 
MYETU

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
3,576
2,000
Maisha hayana formulae lakini ukimpata 21-24 baada ya first degree na ajira una uhakika wa kumtunza vizuri. Yaani uhakika wa kodi ya nyumba, mshahara wa dada, chakula, bima ya afya nk.
Hiyo miaka kwa bongo bado anakula kwa shikamoo saana tuu
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
27,840
2,000
Acha kukariri maisha.

Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.

Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.

Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.

Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,094
2,000
Mtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila Kitu kwa maisha yako ya hapo badae.

Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza kukupata umri unaopochelewa kupata mtoto.

Hebu Leo tujaribu kujuzana ni umri gani hautakiwi uwe umeuvuka bila ya kupata mtoto wako wa kwanza.

21-24
25-30
30-35
35-40

Ni upi umri sahihi?
Hakuna umri sahihi hapo ni kuangalia tu mambo yako yawe angalau mazuri kiasi (uwezo wa kuishi na mke kumvalisha na kumlisha) Lakini pia awepo mtu sahihi wa kuoa na kuzaa naye
Ukiangalia umri pekee bila kutafakari mambo mengine utachemsha BIG!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom