Furaha pekee ya mtu masikini hasa mweusi ni ngono ndo maana kuzaa kwao hakuishi ataanza akiwa na 25 hadi anafika 70 anazaa tu na hapo hakuna alieenda shule wote wako nyumbani akijifariji kila mtoto anakuja na bahati yake.Acha kukariri maisha.
Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.
Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.
Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.
Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Mkuu lakini 40 years kwa jamii zetu za kiafrika huoni kama utakuwa umechelewa mathalani unastaafu una miaka 60 mtoto bado ana miaka 20 huoni kama pension yako itatumika kumsomesha mtoto na kutunza familia badala ya kuifaidi uzeeni kwakoAcha kukariri maisha.
Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.
Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.
Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.
Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Wewe unawaza kustaafu tu, kwani kila mtu ameajiriwa hadi awaze kustaafu miaka 60?Mkuu lakini 40 years kwa jamii zetu za kiafrika huoni kama utakuwa umechelewa mathalani unastaafu una miaka 60 mtoto bado ana miaka 20 huoni kama pension yako itatumika kumsomesha mtoto na kutunza familia badala ya kuifaidi uzeeni kwako
Hao wote aliowaongelea ni wafanyabiashara si makapuku asikuumize kichwa.... Anatolea mfano wa Mengi wakati ukimuuliza kipato chake kwa afikii hata hela ya mafuta na vocha ya Marehemu Mengi kipindi hiko....Mkuu lakini 40 years kwa jamii zetu za kiafrika huoni kama utakuwa umechelewa mathalani unastaafu una miaka 60 mtoto bado ana miaka 20 huoni kama pension yako itatumika kumsomesha mtoto na kutunza familia badala ya kuifaidi uzeeni kwako
John Snow amepata mtoto na miaka 73, lakini mtoto umpate ukiwa na miaka 54, ni lini utamuona anakua na kuanza shule hatimae uone wajukuu?Acha kukariri maisha.
Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.
Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.
Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.
Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Boss, Mengi mbona alikuwa na watoto wengine tofauti na mapacha, RodneyAcha kukariri maisha.
Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.
Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.
Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.
Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Wewe unajidanganya... sababu zinazolazimisha umri ufikiriwe ni uwezo wa kumtunza huku bado una nguvu za kufanya hivyo.. Ishu siyo kuzaa tu... UNLESS UWE TAJIRI AMBAYE UMEJIWEKEZA VYA KUTOSHA... Ebu waza hiliAcha kukariri maisha.
Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.
Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.
Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.
Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
FORMULA IPO MZEE... NA NDIYO MAANA WAKIOANA MASHOGA TUNAPINGA, NA NDIYO MAANA WENGINE WAKIOWANA NA WANYAMA TUNASHANGAA..!! Na Ukienda tofauti na formula utaitwa kichaa au majina mengine yanayofanana na hilo.... WHY? kuna formulaMaisha hayana formula.
Hiyo miaka kwa bongo bado anakula kwa shikamoo saana tuuMaisha hayana formulae lakini ukimpata 21-24 baada ya first degree na ajira una uhakika wa kumtunza vizuri. Yaani uhakika wa kodi ya nyumba, mshahara wa dada, chakula, bima ya afya nk.
Ndiyo Ukweli WenyeweAcha kukariri maisha.
Jaz z amepata mtoto wa kwanza ana miaka zaidi ya 40, Undertaker amepata mtoto wa kwanza akiwa na miaka 53, waziri mkuu wa uinvereza amepata mtoto wake ana miaka 54.
Waafrika tunapenda kuzaa zaa hovyo kwa sababu tunategemea watoto kama mali ama mitaji ya baadae.
Mengi amepata mtoto ana miaka 70, umesikia shida yoyote.
Tafta hela, ukiwa na hela hata ukipata mtoto una miaka 70 bado hutateseka.
Kwenye Utawala Wangu Hakuna Kupanga UzaziMaisha hayana formulae lakini ukimpata 21-24 baada ya first degree na ajira una uhakika wa kumtunza vizuri. Yaani uhakika wa kodi ya nyumba, mshahara wa dada, chakula, bima ya afya nk.
Hakuna umri sahihi hapo ni kuangalia tu mambo yako yawe angalau mazuri kiasi (uwezo wa kuishi na mke kumvalisha na kumlisha) Lakini pia awepo mtu sahihi wa kuoa na kuzaa nayeMtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila Kitu kwa maisha yako ya hapo badae.
Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza kukupata umri unaopochelewa kupata mtoto.
Hebu Leo tujaribu kujuzana ni umri gani hautakiwi uwe umeuvuka bila ya kupata mtoto wako wa kwanza.
21-24
25-30
30-35
35-40
Ni upi umri sahihi?
Tulifyatuana kweli kweliKwenye Utawala Wangu Hakuna Kupanga Uzazi
Ngojeni Hao Wengine.
Waziri Umesikia πππ ππππ£π£
JPM
Halafu Kaondoka Zake Katuachia KimbembeTulifyatuana kweli kweli