Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,663 Aug 5, 2012 #41 Ujinga kuyaacha Magamba yaliyo kili kuwa hayawezi kulipa Mishahara Mizuri ni Bora Yapishe wawezao...
Ston Merchant JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 393 Reaction score 103 Aug 6, 2012 #42 ni ujinga kushabikia CCM
danizzo JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 279 Reaction score 41 Aug 6, 2012 #43 niujinga kutema big G kwa kalanga zakuonja
M mi sitaki Member Joined May 19, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Aug 6, 2012 #44 ujinga ni kujamba na kumsingizia mtoto
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 128 Aug 6, 2012 #45 KANCHI said: Huu c ujinga bwana. Click to expand... ila akili hyo enh! akikwambia karibu unafanyaje unaingia au ?
KANCHI said: Huu c ujinga bwana. Click to expand... ila akili hyo enh! akikwambia karibu unafanyaje unaingia au ?
Rjohn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 613 Reaction score 128 Aug 6, 2012 #46 ujinga kutema mate ukiona mav badala ya kutoa kamas
mkubwawakaya Member Joined Jul 3, 2012 Posts 12 Reaction score 1 Aug 6, 2012 #47 ni ujinga kulamba bahasha wakati haina utamu wowote.................
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,371 Aug 6, 2012 #48 Mateka said: Ni ujinga kufanya haya 1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov 2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu. 3.Kununua misumari nje ya nchi. Click to expand... Hiyo namba 3 kama nchi haitaki kuzalili kwanini tusinunue nje
Mateka said: Ni ujinga kufanya haya 1.kuzaa mtoto na kumpa jina la Tov ili uitwe Babatov 2.kupiga picha na mimi ili upate umaarufu. 3.Kununua misumari nje ya nchi. Click to expand... Hiyo namba 3 kama nchi haitaki kuzalili kwanini tusinunue nje
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 Aug 7, 2012 #49 Ni ujinga wewe kuwa mgeni kwenye nyumba flani, then akaja mgeni mwingne. Akapiga "hodi" na we ukaitikia kwa sauti "karibu" utafikiri kwako
Ni ujinga wewe kuwa mgeni kwenye nyumba flani, then akaja mgeni mwingne. Akapiga "hodi" na we ukaitikia kwa sauti "karibu" utafikiri kwako
Manager JF-Expert Member Joined Apr 21, 2011 Posts 531 Reaction score 73 Aug 7, 2012 #50 Kesi za wizi wa kuku zinakatwa mara moja, hukumu ni miaka 15, kesi za mafisadi haziishi na vyeo vinapanda--huu nao ni ujinga
Kesi za wizi wa kuku zinakatwa mara moja, hukumu ni miaka 15, kesi za mafisadi haziishi na vyeo vinapanda--huu nao ni ujinga
S Slaker JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 237 Reaction score 31 Aug 7, 2012 #51 Ujinga ni 1.kuangalia balance yako baada ya kupigiwa 2.kupiga brush viatu wakat unaend kupiga passport size 3.kumuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya ucngz
Ujinga ni 1.kuangalia balance yako baada ya kupigiwa 2.kupiga brush viatu wakat unaend kupiga passport size 3.kumuamsha mgonjwa ili umpe dawa ya ucngz
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 Aug 8, 2012 #52 Ji ujinga kuishi kwa dadaako afu uhakikishe anatoka Wa wanaume tofautitofauti na we unhakikisha!
Chakuchambuka JF-Expert Member Joined Aug 4, 2012 Posts 342 Reaction score 63 Aug 8, 2012 #53 1.Kuulizia ukoko wa chai,.... 2.kujifanya mbahili kunywa chai na big G 3.kumtuma mtoto kuwasha sigara
1.Kuulizia ukoko wa chai,.... 2.kujifanya mbahili kunywa chai na big G 3.kumtuma mtoto kuwasha sigara
danizzo JF-Expert Member Joined Mar 19, 2011 Posts 279 Reaction score 41 Aug 10, 2012 #54 Niujinga kuzima kuzima jua kwakupuliza niujinga kukimbiza kivuli chako niujinga kupiga mbizi kwenye rami
Niujinga kuzima kuzima jua kwakupuliza niujinga kukimbiza kivuli chako niujinga kupiga mbizi kwenye rami
S Shuju Member Joined Jun 22, 2012 Posts 63 Reaction score 8 Aug 10, 2012 #55 Teh teh teh, umenikuna mdau kwa kwel n ujinga, bt wez wa kuku wakamatwe tu mana wana2ongezea umaskin mafukara
Teh teh teh, umenikuna mdau kwa kwel n ujinga, bt wez wa kuku wakamatwe tu mana wana2ongezea umaskin mafukara
G Getsemane Member Joined Jul 6, 2012 Posts 26 Reaction score 4 Aug 10, 2012 #56 Ni ujinga kutaka kuwasha 'bulb' kwa kiberiti..
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 38,900 Reaction score 28,013 Aug 10, 2012 #57 Ni ujinga ku Quote thread ndefu ili hali unaweza uka comment bila ku qoute.
Z ZeRo zero sEven Member Joined Aug 10, 2012 Posts 22 Reaction score 1 Aug 11, 2012 #58 Ni ujinga kufungua kinyozi {saloon} jamaica.
C Chabo JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 1,098 Reaction score 1,174 Aug 25, 2012 #59 Ujinga kuandika neno "TANGAZO"kwenye tangazo.
mchemsho JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 3,230 Reaction score 935 Aug 25, 2012 #60 Ni ujinga Kuanzisha thread kama hii.