Ni Ujinga..

Ni Ujinga..

Ni ujinga kununua kiatu over size kwa madai ati utakuwa kitakuenea mbeleni kadri siku zinavyoenda
 
ni ujinga kupunguza sauti ya redio ili usome msg
 
Ni ujinga kuchelewesha mishahara wakati mwisho wa siku lazima uilipe!
 
Ni ujinga kubonyeza button no 3 na 6 ili kupanda gorofa ya 9
 
ujinga kubisha hod choon halafu unasubili jibu
 
ni ujinga kuchukia chama tawala
ccm oyeeeeeeeeee. zidumu fikra sahii za mwenyekiti,kidumu chama tawala
 
ni ujinga walimu kukubali amri ya mahakama wakati madai yao ni madai ya kimaslahi
 
kujamba mko wawili tu chumbani halafu unamsingizia mwenzako eti kwakuwa kitu kilikuwa cha yusufuuuuuuuuuu
 
kumwambia konda shusha wakati uko karibu zaidi na driver.
 
Ni ujinga kutuma tafadhali nipigie wakati una salio kwenye simu {kwa watumiaji wa airtel u knw wht i mean}
 
Ni ujinga kupiga vita vimini wakati wenyewe mwavaa vipedo vifupi
Ni ujinga mwanamke anaefanya kazi yenye mshahara mzuri kudai hela ya kununua sabuni kwa mumewe kisa mwanaume ni kichwa cha familia!
 
ni Ujinga kutafuta Remote kwa Dakika Kumi wakati TV ipo karibu
 
Back
Top Bottom