Ni ujinga kumiliki mke/mwanamke mlevi

Ni ujinga kumiliki mke/mwanamke mlevi

Mawazo yako yakiwa hayo utahangaika mpaka unakata upepo.
Si haki sawa? Kwa hiyo na sisi kulewa poa tu.
Wapi pameandikwa wanaume ruksa kulewa,af mwanamke marufuku?
Nyie mkilewa huko hamtucheat?
Chance ya mwanaume aliyelewa kutembea na wanawake wengine ni ndogo ukilinganisha na Mwanamke
Sanasana mwanaume ataishia kupoteza properties kama pesa n.k
 
Back
Top Bottom